Mshahara wa Octoba 2017 umetoka, sasa mambo safi

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Mungu si Athumani.

Maisha safi mshahara umetoka.Nyumbani package ya chakula safi bila tatizo. Nami nipo mtaani na watumishi wenzangu tunapata Safari ndogo baridi safiiiiiii bila tatizo.

Mpunga umetema. Maisha safi.

Serikali ya Dk JPM
 
Nashukuru kwa taarifa [emoji106] ngoja nimuwahi mpangaji wangu anipe changu mapema [emoji38] [emoji39] saund Jana mwisho [emoji15]
 
wa dhoruba la vyeti feki sijui wanakufikiriaje!!!
 
Kuna watu nawadai ngoja nilale nao mbele kabla haujakata.

Sasa hivi nawaibukia nyumbani.
 
Kweli mkuu Toka tarehe 20
Hatari mkuu serikalini kama kwa muhindi tu majina yanakaguliwa ubaoni mtumishi hana uhakika wa mshahara magufuli noma nikikumbuka alivyomtimua beno ndulu namuonea huruma sana achia ofis harakaharaka ila anayoyafanya haya malipo ni hapa hapa duniani si vizur kumvua nguo mtu kweupe vile
 
Watumishi wakiishiwa, biashara haziendi kabisa. Mi nashauri wawe wanalipwa kila mwisho wa wiki siyo mwezi.
Mungu si Athumani.

Maisha safi mshahara umetoka.Nyumbani package ya chakula safi bila tatizo. Nami nipo mtaani na watumishi wenzangu tunapata Safari ndogo baridi safiiiiiii bila tatizo.

Mpunga umetema. Maisha safi.

Serikali ya Dk JPM
 
Hatari mkuu serikalini kama kwa muhindi tu majina yanakaguliwa ubaoni mtumishi hana uhakika wa mshahara magufuli noma nikikumbuka alivyomtimua beno ndulu namuonea huruma sana achia ofis harakaharaka ila anayoyafanya haya malipo ni hapa hapa duniani si vizur kumvua nguo mtu kweupe vile
Kweli mkuu huwezi kumtimua gavana kwa dharau namna ile ,ni kama vile alimchoka akawa hana mtu sahihi wa kumweka pale .Gavana ni 1st advisor kwa Raisi katika uchumi lakini mmmhhhh
 
Back
Top Bottom