Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya...
Baada ya mgodi wa North mara kuzungushiwa ukuta maisha ya watu wa nyamongo yameanza kuwa magumu kwani wengi walitegemea kipato kutokana na kuokota mawe ya dhahabu kutoka tails dam na sasa shughuli...
Habari ya wakati huu wakuu.
ITV ni broadcasting station kubwa hapa Tanzania, ila nadhani iko overated sana.
Tofauti na taarifa ya habari ITV wana nini kingine cha ziada kwenye vipindi vyao...
Salaam,
Imagine mapema sana uko road kwenye folen either kwenye kandinga kako au daladala halafu unamwona mwamba yuko na ka ipod shuffle kake amekamount kwenye bega ana jog mdogo mdogo au msistee...
Watu waliofanikiwa ni kwamba wana mambo mawili tu usoni, "tabasamu na ukimya". Tabasamu linaweza tatua tatizo na ukimya waweza zuia tatizo.
Sukari na chumvi vyaweza kuchanganywa pamoja ila...
ITV kila mkitangaza habari zenu mnajisifia kwa kuwa 'Superbrand Nambari 1 Afrika Mashariki'!
Sawa tunakubali maana hata sisi tunawaangalia sana tu kuanzia Isidingo hadi habari, mimi binafsi...
Mvua inayoendelea kunyesha imelisomba daladala eneo la Mbezi Luisi jijini Dar es Salaam na kudumbukia ndani ya mto.
Abiria waliokuwepo ndani ya basi hilo wamefanikiwa kutoka dirishani kunusuru...
Kuna watu bana wanakera sana wameanzisha vi enjooo au vi organization vya aina tofauti tofauti vya ujasilia Mali viko tofauti tofauti
Katika ajira zao hizi wanakwambia ukitaka kupata hii Kazi...
Wengi tumesoma historia kuhusu biashara ya ukoloni ilivyofanyika barani Afrika ambapo hawa watu wenye ngozi nyeupe walivyotugeuza sisi watu weusi kama njia kuu ya kujichumia utajiri. Kuna maovu...
Kama umesoma makongo NI mkasa gani uliowahi kukupata MAANA MIMI NAKUMBUKA NILIWAHI KUMWAGIA NDOO NZIMA YA MAJI SAA12 ASUBUHI JMOSI KISA NIMECHELEWA KUAMKA
Ni Commando Mstaafu aliyekuwa na Cheo cha Captain ambaye usiku wa jana nilipata bahati ya kwenda kumtembelea Nyumbani Kwake baada ya kupotezana nae kwa muda mrefu kutokana mizunguko yetu ya...
Wasalaam,
Mvua za hivi karibu nchini hapa Dar es Salaam nimeharibu tena miundo mbinu yetu. Kwa nini miundo mbinu yetu inaharibu na hivi mvua za vuli tu za siku mbili ama tatu. Je tunajenga kwa...
Anaitwa Ambrose Victor Calist ambae ndie aliyekamatwa baada ya kutokea mripuko wa bomu katika Kanisa Catholic La Olasiti Mjini Arusha, Tarehe 5 May 2013. Bomu hilo la kivita liliua watu wa tano...
Halo jamaa zangu ni wazima?
Mwaka huu nimeanzisha biashara ya kukopesha ila nimekutana na changamoto kubwa mno,
Kwanza kuyafuatilia marejesho mpaka uyapate hatari,
Jamaa mmoja wa kigoma anaitwa...
Salaam waungwana!?
Well kumekua na hoja nyingi Sana juu ya wakazi wa Dar hasa wanaume kuwa ni wachovu Sana.
Wameenda mbali kiasi kushusha wakazi wengi wa mkoa huo.
Mkoa huu wa Dar umejazwa na...
Habari wadau
Kumejengeka tabia kwa viongozi wetu wengi kutumia neno mtanzania maskini, au mwananchi maskini
Matumizi ya maneno hayo kwangu mimi naona imekuwa kama kichaka cha kuficha mambo...
Maeneo mengi ya Jiji la Mwanza Mgao wa Umeme ni mkali haswa! Tumebaki tunajiuliza, hawa wapo tayari kumsaidia Mh. Rais kukamilisha ndoto yake ya Tanzania ya Viwanda? Viwanda hivi vinahitaji...
Habarini za leo wadau wangu kama kawa ni siku nyigine tena tunakutana hapa hapa katika simulizi mororo ila leo nawaletea TRUE STORY ambayo ilinikuta utotoni kabisaa nikiwa kwetu kijijini. Kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.