Ni kwanini watu wanashidwa kupeleka ndugu zao katika hizi ajira bongo akupeleke wewe?


C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,856
Likes
1,940
Points
280
Age
28
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,856 1,940 280
Kuna watu bana wanakera sana wameanzisha vi enjooo au vi organization vya aina tofauti tofauti vya ujasilia Mali viko tofauti tofauti

Katika ajira zao hizi wanakwambia ukitaka kupata hii Kazi utoe labda laki tatu au milioni mbili na ukiingia Kazi yako itakuwa ni kuleta watu kujiunga na hiyo tasisii na jinsi unavyoleta watu ndio bonus yako inaongezeka na ndio mshahara wakoo.

Na kila MWEZI unatakiwa ulipie ada ya uanachama unakuta labda laki moja unachangia taasisi na wenye hiyo taasisi wanakushawishi ukijiunga utakuwa tajirii .

Sasa najiuliza kama ni utajiri kwanini watu Hawa wasichukue ndugu zao waifanye hii Kazi wanataka wewe ndo ujiunge na unakuta unapigiwa Simu mimeseji kibao ujiunge ujiunge Hawa watu kiukweli wamekuwa keroo.

Mimi Nina rafiki yangu mmoja anafanya Kazi crdb na ni mwanachama wa hiyo taasisi kila siku ananishawishi nijiunge inalipa sana wakati huo huo ndugu zake kawatafutia Kazi crdb bank na sio paleeee ivi kwanini asipeleke hao ndugu zake wakajiunge

Mimi nilimwambia mshahara ninaupata huku unanitosha hayo mambo ya kujiongezea kipato fanyeni wenyewe na ndugu zenu kama inalipaaa na Mimi siwezi peleka ndugu yangu ukoo
 
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2017
Messages
526
Likes
1,072
Points
180
magige Dm

magige Dm

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2017
526 1,072 180
Ulimjibu vyema sana.
 
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Messages
1,027
Likes
1,517
Points
280
MSELA WA MANZESE

MSELA WA MANZESE

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2017
1,027 1,517 280
Mimi kuna mtu yupo helping nini cjui vilee alinitumia audio na maelekezo kibao jinsi gani nitafaidika nitakapojiunga kwa elfu 90 tuu.

Nilichomwambia kwa sina hiyo elfu 90 ila unaweza nikishajiunga mambo yangu yatapokaa safi nitakulipaaa kilichotokea hadi Leo hapokei Simu yangu .
 

Forum statistics

Threads 1,235,516
Members 474,633
Posts 29,225,425