Wasalaam,
Mvua za hivi karibu nchini hapa Dar es Salaam nimeharibu tena miundo mbinu yetu. Kwa nini miundo mbinu yetu inaharibu na hivi mvua za vuli tu za siku mbili ama tatu. Je tunajenga kwa kuogopa gharama je wakandarasi hawasimamiwi ipasavyo. Ukitembea nchi za wenzetu hasa India niliwahi kwenda huko mji wa New Delhi na Bangalore hawa jamaa wamejenge kutumia zege la uji uji kali almost cement asilimia 90% na kingo zote zege kali na kingo kubwa, mifereje ya maji mikubwa mtu anaweza kutembea ndani ya mifereji yao. Kiasi kwamba ikinyesha mvua kubwa mafuriko yapo lakini miundo mbinu yao inabaki vile vile mvua ikiiisha. Na pembezoni mwa barabara wamecover na paving kote kiasi kwamba hamna udongo unaoingia barabrani.....je kutumia LAMI ni technolojia iliyopitwa na wakati au tunanunua lami ya bei cheee.....
Tujitafakari kwa sbb kama taifa mvua kidogo lami imetengeneza mashimo na inakuja gaharama nyingine kufanya maboresho...kwa nini tusitumie gharama kubwa lakini barabara zetu zisijimbike mfano brbr za mwendo kasi utaona ubora wake ulivyo ni imara hata mvua ije vipi ziko vile vile why not maeneo mengine iwe hivyo. Kujaa kwa maji na kufurika sio tatizo sana tuelekeze maji yaende wapi...ili mvua ikinyesha yanapokata miundo mbinu yetu iwe vile vile.
Wapi tunakosea.....na nani wa kulaumiwa. Nawakilisha