Dar Mwenyewe ni Nani?

UrbanGentleman

JF-Expert Member
Jun 19, 2016
2,585
1,883
Salaam waungwana!?
Well kumekua na hoja nyingi Sana juu ya wakazi wa Dar hasa wanaume kuwa ni wachovu Sana.

Wameenda mbali kiasi kushusha wakazi wengi wa mkoa huo.

Mkoa huu wa Dar umejazwa na wakazi toka mikoa mbali mbali nje ya Dar wakija kutafuta cha ajabu wakipata hawaondoki.

Wanaodai wao ni wa nje ya Dar wengi wao mahitaji korofi katika nyanja za kimaisha wanawategemea wanaume wa Dar zaidi.

Swali langu ni Kwamba Dar kuna kabira gani au kuna wenyeji gani tuwatoe kasoro kuwa hawa wanatatizo hili na hili ili tuwasaidie Japo kimawazo.

Audi ndio Yale ya kuongeza umaarufu na ukomavu wa akili kwa kuhitaji Elimu ya Lazima?
 
Swali langu ni Kwamba Dar kuna kabira?=KABILA gani au kuna wenyeji gani tuwatoe kasoro kuwa hawa wanatatizo hili na hili ili tuwasaidie Japo kimawazo.
 
Kama umezaliwa dar bas wewe ni mwanaume wa dar hata kama kabila lako ni mumakonde


Achen kula biskut na kuvaa nguo zinazowabana mapaja
 
Achen kutumia neno JOMONI

achen kutumia neno MY GOSH

achen kabisa mnatuabisha sana sema hamujui tu

Achen kuvaa bikin
 
Stori za wanaume wa dar vijiweni
Kuongelea mademu tu
Kubishana nani mkali kati ya diamond na kiba
Kubishania mpira
Kupigana majungu
 
Back
Top Bottom