Tuliosoma Makongo Secondary School: Ni mkasa gani uliowahi kukupata

hitler2006

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Messages
334
Likes
92
Points
45
hitler2006

hitler2006

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2014
334 92 45
Kama umesoma makongo NI mkasa gani uliowahi kukupata MAANA MIMI NAKUMBUKA NILIWAHI KUMWAGIA NDOO NZIMA YA MAJI SAA12 ASUBUHI JMOSI KISA NIMECHELEWA KUAMKA
 
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2014
Messages
2,246
Likes
2,761
Points
280
Mama_Aheshimiwe

Mama_Aheshimiwe

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2014
2,246 2,761 280
Dogo janja alikua mtoro balaa anakuja na sambusa anagawa watu mnang'ang'ania kumwandikia
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,318
Likes
453
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,318 453 180
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
 
gimanini

gimanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2015
Messages
1,182
Likes
764
Points
280
gimanini

gimanini

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2015
1,182 764 280
Babu chacha alinilamba mboko 15 ilikuwa 2002
 
kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Messages
1,768
Likes
1,856
Points
280
kifinga

kifinga

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2011
1,768 1,856 280
Nimenunua sana vitambulisho kwa babu side. manake ilikua ukichelewa unaacha kitambulisho jioni unaenda kutumikia adhabu mi nikawa naviacha sana naenda kutengeneza kipya buku tatu tu
 
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Messages
1,318
Likes
453
Points
180
Hebie

Hebie

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2012
1,318 453 180
ha ha ha ha ha ha wapi malongori babu ayubu alikua anazingua sana akimuiga sauti yake watu mbiooo
Dah umenikumbusha Malongoli na msauti wake ni hatareee
 
C

chekii

Senior Member
Joined
Jul 31, 2015
Messages
167
Likes
69
Points
45
C

chekii

Senior Member
Joined Jul 31, 2015
167 69 45
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
kafariki mwaka gani huyu mwalimu komba? . skumpenda hataa, alinipiga hadi leo sjui kosa langu
 
hitler2006

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Messages
334
Likes
92
Points
45
hitler2006

hitler2006

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2014
334 92 45
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
MKUU KAMA NAKUFAHAMU VILE....ULIKUWA HGE AU SIO
 
Kila Mbongo

Kila Mbongo

Member
Joined
Aug 28, 2017
Messages
53
Likes
39
Points
25
Kila Mbongo

Kila Mbongo

Member
Joined Aug 28, 2017
53 39 25
Niliwahi kutandikwa na mwl Komba (marehemu) kidogo nizimie kosa la kuinga darasani kwake KLF kujificha msala darasa langu sitasahau, Mungu amlaze pema
Ni Kombaa na sio Komba.
 
Forum statistics

Threads 1,236,414
Members 475,125
Posts 29,257,087