Upinzani usio na dira na tija wala usio na mashiko ni huu unaofanywa na wapinzani uchwara wa Tanzania. Wapinzani wasio hata na ujasiri wa kusimamia haki chache ambazo wamepewa kikatiba hawafai...
Viongozi wa michezo ngazi za mikoa na wilaya wamehimizwa kuhamasisha na kusimamia mchezo wa riadha na michezo mingine katika maeneo yao ili taifa liweze kuwa na wanamichezo bora.
Kauli hiyo...
Kwa taarifa tunazosikia ni kwamba uchumi wa Ethiopia ni kati ya uchumi ambao unakuwa kwa kasi. Wanajenga miundombinu safi, wamezindua train safi ya umeme na mambo kadha wa kadha.
Ila siku zote...
Uzito wa habari za hawa jamaa wote utadhani wahariri wao ni wamoja huwekwa kwenye habari za Kenya kisha baadae ndio utapata habari za Tanzania.
Lakini cha ajabu wachangiaji wakubwa kitu ambacho...
170 Israelis stranded in Zanzibar
Arkia discovers technical issues with plane, passengers sleep on airport benches while waiting for flight home. Arkia: We'll provide hotels.
Zaidi ya Waisrael...
Tarime. Polisi Kanda Maalumu ya Tarime/Rorya imesema inaimarisha ulinzi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania, kutokana na uchaguzi wa marudio unaoendelea nchini humo.
Akizungumza ofisini kwake juzi...
Habari ya wakati huu wakuu.
Ni miaka miwili au mitatu sasa nasikia fursa zinazopigiwa debe kubwa sana na Clouds Media Group.
Najiuliza, hizo fursa mbona sioni wafanyakazi wa clouds wakiacha kazi...
Habari wanabodi,
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima bukheri wa afya.
Katika pitapita yangu hapa JF, nimekutana na uzi mmoja wenye kichwa "tupia hapa picha ya demu mkali". Katika mantiki ya...
Kutoka Chalinze hadi mbezi ndio barabara hatarishi zaidi kwa Tanzania kwani inapofika jioni hii ndio barabara inayopitisha mabus mengi kwa mwendo wa kasi kabisa
Madereva washazoea inapotimu saa...
Mwanzo mlikua vizuri sana kwa maana ya Sports Hq, shida ya sasa ni matangazo yamezidi either muhamishie matangazo mengine vipindi vinginevyo.
Siku hizi nimechunguza mpaka kufikia saa 5:45 eti...
Mambo mapya yanazidi kuibuka yanayohusu familia ya Mwanaharaki, Mwanasheria na Mwanasiasa Tundu Lissu amabaye amelazwa katika hospitali Nairobi.
Baba yake Tundu Lissu aitwao Austino Lissu Mugwai...
Wana JF,
Kuna haja ya kutenda mema siku zote ili kuandaa maisha yetu ya badae, ukitenda mema usiweke kichwani songa mbele wema wako usikupe kiburi cha kwenda unasema na kutaja wema kwa wengine...
Ni kweli hakuna ambaye alikuwa hajui kwamba huyu Mama Mndeme alikuwa na bonge la ' Bifu ' na aliyekuwa ' Bosi ' wake na ambaye ni Mkuu wa Mkoa aliyeondolewa Bwana Jordan Rugimbana hali ambayo...
Nyoka alipenya na kuingia katika karakana ya ufundi seremala.
Wakati nyoka anaingia alipita karibu na msumeno wa kukatia mbao, na kudhurika kwa kuchomwa na meno ya msumeno.
Kwa ujinga wa kutojua...
Abiria wanaotumia mabasi yaendayo haraka ya kampuni ya UDART wamepata adha ya usafiri baada ya magari zaidi ya 20 kuharibika kutokana na mvua iliyonyesha wiki iliyopita.
Kwa mujibu wa UDART...
Ugonjwa wa saratani unazidi kuwatesa zaidi Watanzania baada ya idadi ya wagonjwa wapya kuongezeka kutoka 2,416 mwaka 2005 hadi 6,338 mwaka 2016, huku aina nne zikionyesha kuchukua theluthi mbili...
Binadamu ana asili ya Negative energy , kwa sababu sayari hii imejaa nishati hasi , watu wanaona mabaya fasta , hawataki kujifunza kupitia hayo mabaya .
Siku zote watu wabaya ndiyo wa kwanza...
Wakuu ebu Leo tujikumbushe wakuu wa mkoa wa Dar es Salaam na jinsi walivyotenda kazi kwenye uongozi wao.
Mimi namkumbuka Makamba alivyo pambana na wamachinga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.