Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Tamko rasmi la wanaume wa Dar Es Salaam

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,722
Reaction score
692
Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya ziwa kutulaani kwa kukimbia eti kuogopa panya road, niseme ukweli kwa niaba ya wanaume wote tuishio hapa hakuna aliyekimbia zaidi ilikua ni kuwatuliza kina mama watoto na wazee kutokana na woga walioingia na kuhofia kujeruhiwa na hao vijana panya road,

Sisi tulikua mstari wa mbele kuwangoja kwenye maeneo yetu ili pindi wakipita tuwashughulikie kisawasawa na si kukimbia kama baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa walivyodai, na siku ile hatukulala hadi tulipohakikisha usalama umetulia na hali imekua shwari kabisa. Nawakaribisha wanaume wenzangu wa dar kutoa ya moyoni kwenu hapa dhidi ya udhalilishwaji huu. Matusi na lugha chafu si msingi wa hoja hii karibuni
 
Nm nashangaa hao wanaozalilisha wanaume tangu hao panya cji road waanze kusemwa awajawai kufika uku kitunda ili tuone kuna wanaume wamewakimbia au polic wangekuja kuchukua mizoga yao.
 
Wala miguu ya kuku wapi na wapi


swissme
 
Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya ziwa kutulaani kwa kukimbia eti kuogopa panya road, niseme ukweli kwa niaba ya wanaume wote tuishio hapa hakuna aliyekimbia zaidi ilikua ni kuwatuliza kina mama watoto na wazee kutokana na woga walioingia na kuhofia kujeruhiwa na hao vijana panya road, sisi tulikua mstari wa mbele kuwangoja kwenye maeneo yetu ili pindi wakipita tuwashughulikie kisawasawa na si kukimbia kama baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa walivyodai, na siku ile hatukulala hadi tulipohakikisha usalama umetulia na hali imekua shwari kabisa. Nawakaribisha wanaume wenzangu wa dar kutoa ya moyoni kwenu hapa dhidi ya udhalilishwaji huu. Matusi na lugha chafu si msingi wa hoja hii karibuni

jisemee mwenyewe
 
View attachment 216765

hawa ndo wanaume bhana chezea panya road wanaume wote dar walienda kulala mapema bila kupenda mbona siku ya tukio mlijifungia ndani.
 
Kill 3 hakuna aliyejifungia ndani huo ni uzushi tu si kweli
 
Last edited by a moderator:
Nimeshatoa karipio kali kwenye thread yangu ``Wanaowakejeli Wanaume wa Dar kuhusu panya road kukiona" . Atakayekiuka...
 
Nm nashangaa hao wanaozalilisha wanaume tangu hao panya cji road waanze kusemwa awajawai kufika uku kitunda ili tuone kuna wanaume wamewakimbia au polic wangekuja kuchukua mizoga yao.
Mwisho wao mombasa,uko kitunda na mazizin hawafiki wasije geuzwa ng'ombe wa machinjioni..
 
Baada ya kimya kidogo Ndugu zangu wote wanaume tunaoishi katika jiji hili la Dar es salaam, tumeshuhudia vibweka vya aina yake toka kwa baadhi ya vijana wanaojiita eti wanaume toka huko kanda ya ziwa kutulaani kwa kukimbia eti kuogopa panya road, niseme ukweli kwa niaba ya wanaume wote tuishio hapa hakuna aliyekimbia zaidi ilikua ni kuwatuliza kina mama watoto na wazee kutokana na woga walioingia na kuhofia kujeruhiwa na hao vijana panya road, sisi tulikua mstari wa mbele kuwangoja kwenye maeneo yetu ili pindi wakipita tuwashughulikie kisawasawa na si kukimbia kama baadhi ya vijana wa kanda ya ziwa walivyodai, na siku ile hatukulala hadi tulipohakikisha usalama umetulia na hali imekua shwari kabisa. Nawakaribisha wanaume wenzangu wa dar kutoa ya moyoni kwenu hapa dhidi ya udhalilishwaji huu. Matusi na lugha chafu si msingi wa hoja hii karibuni

Eti kweli role model wenu MZEE YUSUPH?
 
Hao panya rodi watachezea kote Kariakoo hawathubutu kuigusa.
 
Nm nashangaa hao wanaozalilisha wanaume tangu hao panya cji road waanze kusemwa awajawai kufika uku kitunda ili tuone kuna wanaume wamewakimbia au polic wange

kuja kuchukua mizoga yao.

Mkuu chukua like:thumbup: hata kivule huku tumewamiss sana hao panya..
 
Back
Top Bottom