E FM medani za kimataifa matangazo yamezidi

E FM medani za kimataifa matangazo yamezidi

Genius Messi

Member
Joined
Oct 14, 2017
Posts
74
Reaction score
52
Mwanzo mlikua vizuri sana kwa maana ya Sports Hq, shida ya sasa ni matangazo yamezidi either muhamishie matangazo mengine vipindi vinginevyo.

Siku hizi nimechunguza mpaka kufikia saa 5:45 eti ndio mnaanza uchambuzi pamoja na matangazo!Matokeo yake mnaacha mambo na michezo mingi ilochezwa week end rekebisheni kasoro hizi.
 
Back
Top Bottom