Kuwa na nguvu chanya na si hasi


uvugizi

uvugizi

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,112
Likes
376
Points
180
uvugizi

uvugizi

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,112 376 180
Binadamu ana asili ya Negative energy , kwa sababu sayari hii imejaa nishati hasi , watu wanaona mabaya fasta , hawataki kujifunza kupitia hayo mabaya .

Siku zote watu wabaya ndiyo wa kwanza kuwahukumu wengine . Mtakatifu si yule ambaye hana dhambi Bali ni yule aliyetawaliwa na positive energy.

Mfano mtu anapokufa anakuwa na amani hasa kama unaijua paradiso si kuzimu . asili ya amani ni kifo
Mtu anayetaka kujifunza amani inabidi aondokane na ubinafsi na ajikane kweli kweli , usiwe mtu wa kujihesabia haki , kwa sababu hata Yesu angekuwa na mtazamo wa kujihesabia haki tusingeupata wokovu , kwani hakumkosea mtu.

Utajiri mafanikio yapo mlangoni kwako , je unajishusha kwa jamii kiasi gani , ukianzia na sehemu zetu za ibada , je unajinyenyekesha au ni kila kitu wewe unajua!

KIHIGA
Be inspired
 

Forum statistics

Threads 1,213,235
Members 462,001
Posts 28,470,829