Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 26,581
- 48,737
NAOMBENI MSAADA JAMANI NATAKA KUJUA EXIM BANK KAMA JPILI INAFUNGULIWA PALE MLIMANI CITY.NA NI MUDA GANI?
Ndio...j2 inafunguliwa kuanzia sa tatu unusu kama sijakosea mudaNAOMBENI MSAADA JAMANI NATAKA KUJUA EXIM BANK KAMA JPILI INAFUNGULIWA PALE MLIMANI CITY.NA NI MUDA GANI?
asante sana ngoja nilale mimi nitaenda kesho .wanafunga saa ngapi mkuu?Ndio...j2 inafunguliwa kuanzia sa tatu unusu kama sijakosea muda
Saa saba unusu hivi... jana ulikesha ninasante sana ngoja nilale mimi nitaenda kesho .wanafunga saa ngapi mkuu?
ahahaaaa acha tu mkuu asante kwa msaada wako lakiniSaa saba unusu hivi... jana ulikesha nin
Babati unakuja lini mrembo, nakusubiriaahahaaaa acha tu mkuu asante kwa msaada wako lakini
Hahahahaaa...sawa..ukikwama kuhudumiwa uni-PM niku-direct kwa mdau atakusaidiaahahaaaa acha tu mkuu asante kwa msaada wako lakini
sio mimi nilikuwa nasafiri chakii walikuja huko wahusika niliwakatia ticket polepole .wamesema ipo ok nashukuruni kwa msaada wenuBabati unakuja lini mrembo, nakusubiria
asante patHahahahaaa...sawa..ukikwama kuhudumiwa uni-PM niku-direct kwa mdau atakusaidia
sio mimi nilikuwa nasafiri chakii walikuja huko wahusika niliwakatia ticket polepole .wamesema ipo ok nashukuruni kwa msaada wenu
ahahaaaa mimi nipo dar tanga-handeni -nairobi -arusha-dodoma ndo route zangu
Ukija Arusha nitafute!ahahaaaa mimi nipo dar tanga-handeni -nairobi -arusha-dodoma ndo route zangu
ukija dodoma nitafute tutoke outahahaaaa mimi nipo dar tanga-handeni -nairobi -arusha-dodoma ndo route zangu
Namimi niko dodoma tutafutane tunywe hata supu kibaridi kimeanzaukija dodoma nitafute tutoke out