Huu ndio utapeli wa Walebanoni

lumia21

JF-Expert Member
Nov 30, 2015
271
243
Napenda kuwapa angalizo wafanyabishara hasa wanaofanya biashara mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa.

Kuna kundi la matapeli katika kata ya Rudewa.. Huku wanajulikana kama walebanoni

Hawa jamaa wanatapeli watu nje nje.. Na wanakula na polisi.. So angalizo kwa wafanya biashara huku mie nawaona watu wanalia...

*Lumia*
 
Ungeeleza vizur huo utapeli unafanyika vipi na kwa staili ipi wanashirikiana na hao polisi
 
Ha ha ha ha ha ha.. Great joke... Nimependa... Nimeandika uzi huu huku naangalia match ya man u na chelsea..

So those above are honesty mistake..
 
Ungeeleza vizur huo utapeli unafanyika vipi na kwa staili ipi wanashirikiana na hao polisi
Ndio maana nikasema ni angalizo... We fuata taratibu za kufanya biashara...

Ila wengi wana pigwa kwa kuambia kuna mizigo ya bei poa huku kilosa..

Mfano: unaweza ambiwa mchele huku gunia 30000 kwa uroho wa kupata faida una kurupuka...
 
naomba unitumie PM ulikuwa unamaanisha nini maana hapa hadharani hakuna nilichoambulia
 
Back
Top Bottom