UMASIKINI BWANA
JF-Expert Member
- Oct 17, 2013
- 942
- 567
Habari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]
WalichimbA futi ngapi na wewe ulitaka ziwe ngapi?Habari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]
Cjui ndo mana nikauliza[emoji102]WalichimbA futi ngapi na wewe ulitaka ziwe ngapi?
Cjui ndo mana nikauliza[emoji102]WalichimbA futi ngapi na wewe ulitaka ziwe ngapi?
Mkuu ile kusema "hujafurahishwa na kina kilichochimbwa" maana yake unakijua kina kinachotakiwa kuchimbwa ndo maana hukufurahishwa na kilichochimbwa. Ila mi naamini kwenye wengi halihalibiki jambo nikimaanisha watu wote msibani hawawez kuchimba kina kisichostahili.Cjui ndo mana nikauliza[emoji102]
Kwa nn hujafurahishwa, ulitaka iwe ngapiHabari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]
Kwa nn hukufurahishwaCjui ndo mana nikauliza[emoji102]
HaujulikaniJamani mimi ni member wa Jf. Nataka kupost uzi wangu inakataa inasema need valid I'd. Msaada jamani
Nifanyaje ili niweze kujulikana Is yangu mkuu?Haujulikani
Haya maswali mengine jamani!Habari wadau Leo napenda kujuzwa kina stahiki cha kaburi LA mtoto mchanga in futi ngapi?Nimeshiriki mazishi Leo lkn sijafurahia kabisa kina kilichochimbwa[emoji17]