Chadema kuendelea kuruhusu REJECTS from ccm,chama hik kitapotea mazimaa,wa tz sio wajinga.

Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Messages
4,384
Likes
4,639
Points
280
Napoleone

Napoleone

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2012
4,384 4,639 280
Naongea kama mtanzania wa kawaida kabsaa,non aligned kabsa..naona sasa hii trend inakua kama kawaida vile,na wanachadema wanajisahau wanawapokea hawa jamaa kwa mikono miwil na tayar wameshaanza kuwatetea,watu hawana record nzur,na wanahamia kwenye chama,hiv mtajiteteaje tena?haya wazee endeleen kupokea rejects ila zitawahukumu.mnawapa jamaa cha kuongea mwisho wa siku.
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
67,131
Likes
29,686
Points
280
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
67,131 29,686 280
Naongea kama mtanzania wa kawaida kabsaa,non aligned kabsa..naona sasa hii trend inakua kama kawaida vile,na wanachadema wanajisahau wanawapokea hawa jamaa kwa mikono miwil na tayar wameshaanza kuwatetea,watu hawana record nzur,na wanahamia kwenye chama,hiv mtajiteteaje tena?haya wazee endeleen kupokea rejects ila zitawahukumu.mnawapa jamaa cha kuongea mwisho wa siku.
Wacha kipotee sindiyo furaha yenu mafisiem?
 
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Messages
2,841
Likes
3,906
Points
280
The Valiant

The Valiant

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2017
2,841 3,906 280
Naongea kama mtanzania wa kawaida kabsaa,non aligned kabsa..naona sasa hii trend inakua kama kawaida vile,na wanachadema wanajisahau wanawapokea hawa jamaa kwa mikono miwil na tayar wameshaanza kuwatetea,watu hawana record nzur,na wanahamia kwenye chama,hiv mtajiteteaje tena?haya wazee endeleen kupokea rejects ila zitawahukumu.mnawapa jamaa cha kuongea mwisho wa siku.
unataka chama kiwapokee kina nani? hebu tuambie hapa?

BTW wewe utakuwa ni mjinga kulikoni...Unachagua chama ambacho kinatengeneza UCHAFU...CCM

Na unaacha chama ambacho ni clean..na kisicho na kinga yoyote ya kiserikali...Ya kulindana.CHADEMA
 
Forum statistics

Threads 1,251,180
Members 481,594
Posts 29,761,290