ATUPWA JELA MIAKA MITATU
• Ni baada ya kukutwa na hatia ya utapeli wa ajira kwa watu 144
Na Audrey Mgalama, BAABKUBWA
Kapeele Mpundililwa ambaye ni mkurugenzi wa shirika la umoja wa watu wa...
Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amepiga marufuku tabia ya wanafunzi wa kike kuitwa “Baby” kwa madai kuwa ni chanzo cha kujiingiza kwenye mapenzi.
Tamko hilo amelitoa kwenye ziara yake ya...
Jamani nimechoka kuishi sehemu moja ! Nawaza hapa ni ka mkoa gani kazuri ka kwenda kukaa walau siku 5! Niliwaza niende Zanzibar naambiwa December ni kwa moto, hapa nimekaa nawaza hata kazi...
Kuna threads ambazo zimekuwa zikianzishwa wengine kwa haraka wana ona kama ni za kipuuzi au za kijinga. Lakini utagundua wengi hawasomi kwa akili.
Wanasoma kwa surface reading not between the...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza katika kipindi cha runinga ambacho huandaliwa na Twaweza kwa kushirikiana na JamiiForums, amesema ili kulinda...
Wakati taifa likijinasibu kujenga nchi ya viwanda bodi ya mikopo inafanyakazi zake bila kulijua hili hata kidogo. Badala ya kutoa mikopo kwa kuzingatia malengo haya ya taifa wao wanatoa mikopo...
Tafiti zinaonyesha kuwa familia ambazo zinakula chakula pamoja zinapata faida nyingi. Kula pamoja kunaimarisha mawasiliano na mahusiano ya watoto na wazazi. Watoto ambao wanakula chakula pamoja...
Hii ni kwa mujibu wa Tangazo kutoka ofisi ya Makamu wa Rais lililosambazwa kwa vyombo vya habari , na kusainiwa na Mhandisi Joseph Kizito Malongo, ambaye ametajwa kama KATIBU MKUU .
Mytake - Huko...
Hii idara inashughulika na utoaji wa leseni bila kutoa hongo hakuna msaada wowote. Watu wanaotafuta leseni mpya au wanotaka ku-renew leseni mpya wamekuwa wakihangaisha wateja kwa muda mrefu...
kiongozi ni dira ya wananchi wa eneo husika,kiongozi anapokuwa na maona mazuri ndivyo anawaongoza watu wake kuwa na maono mazuri,yeye ndie hutoa automatically mwelekeo wa kimaono wa watu wake wapi...
Tunajua sasa hivi kuna wimbi kubwa la kufunguliana mikesi ya madai kwa watu maarufu.
Na kwa miaka kadhaa sasa namuona bwana mdogo Ben Pol kila akipanda kwenye jukwaa la fiesta lazima aimbe wimbo...
Tumeshuhudia vifaranga kutoka kenya wakiteketezwa kwa kuchomwa moto kwa amri ya mamlaka za serikali ya tanzania!
Tumepewa sababu ikiwemo kuzuia uwezekano wa maambukizi ya magonjwa ya mifugo na...
Mbunge wa jimbo ni mtu mkubwa sana na ameenda bungeni kuwakilisha na kutetea masilahi ya wananchi wake. Lakini mbunge akifika bungeni kwenye kutetea maslahi ya wananchi anapata kikwazo cha...
Amatus Liyumba.
MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili hivi punde...
Aliyekuwa Mr.ofisa wa BOT Amatus Liyumba yupo katika timbwili zito na mkewe kwa kugombania hekalu,Liyumba anataka kuiuza lakini mkewe hataki kwhyo sakata limetimba mahakamani.
=======...
Habarini
Nchi yetu inaamini kuwa hakna aliye juu ya sheria na je hawa askari wako juu ya sheria au wanaogopwa?
Cheti feki ni feki hadi mbinguni wafukuzwe tu ltakalo tokea basi bwana,double...
Ni dhahiri hakutakuwa na nyongeza ya mshahara mwezi huu wa NOVEMBA/2017,hii ni kulingana na majibu ya Mh. Wazir Mkuu leo bungeni akijibu swali la Mbunge wa Kilindi lililotaka jibu la serikali...
Wakuu.
Kwenye top five investors wa Tanzania wakenya wapo, naomba mahusiano yetu kibiashara yaimarishwe kwani umuhimu wa kenya na tanzania kwenye biashara ni mkubwa sana kuliko nchi yoyote...
Kuna baadhi ya wasafiri ambao nimewahi kujiuliza masuali kadhaa kuhusiana na tabia yao ya kutobeba mizigo mingi pale wanaposafiri kwenda nje ya nchi na kurudi, khasa kwa kutumia zile ndege za...
Kwa wakazi wa Mwananyamala na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam kuweni na tahadhari na mda na njia mnazopita.
Siku ya jana wamesumbua watu maeneo ya Mwananyamala kwa Kopa kwa kuwapora...