Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

MWALIMU Joshua Sutcliffe wa Oxfordshire, Uingereza, ameingia matatani baada ya kusimamishwa kazi kwa kumwita kwa ‘bahati mbaya’ mwanafunzi wa kiume kuwa ni msichana. “Nilimwita mvulana mwenye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwamba......hata Maprofesa wanaosha vyombo kama kazi yao ya ziada kujiongezea kipato??!! Mlioishi huko na embu mtutoe sintofahamu hii. Hii ina ukweli kwa kiasi gani? Kama maprofesa wanaosha...
7 Reactions
64 Replies
13K Views
Nimejaribu mno kujaribu kuelewa faida za watu waende kujiunga JKT SIJAZIONA. Na nimejaribu sana kuona faida za wabunge nao kujiunga na mafunzo ya JKT sijaona! Wanasema eti wanafundishwa...
9 Reactions
33 Replies
10K Views
Mara utasikia jeshi la polisi huko kanda maalum ya Tarime na Rorya imeteketeza magunia 50 na ekari mia saba za bangi. Hujakaa sawa mara wilaya moja ya kwa akina Nshomire ekari kadhaa za bangi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu.Kumekuwa na jambo hili MBWA WAMECHIMBA SHIMO KUBWA UWANI KWANGU NA WANAENDELEA KUCHIMBA ENEO JINGINE JE HII INA TAFSIRI GANI KIIMANI. NATANGULIZA SHUKRANI
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika nchi zilizoendelea kitu kama gesi inapatikana katika kila nyumba kama ilivyo huku kwetu na maji mijini. Nishawahi sikia TPDC (shirika la maendekeo ya petroleum) kua lina mpango wa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Wakuu. Kama niliyoyataja hapo ndio serikali inawaza ndio maendeleo hapo wamefeli mapema. Maendeleo hupimwa kwanza kwa maisha ya watu na sio vitu, na huwezi kupita kila sehemu watu wanalia hali...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika Hotuba ya Mhe.Waziri wa Fedha na Mipango 2015/16 tozo za Zima Moto kwa Wananchi kama Mahoteli, Guest houses na majumbani zilifutwa. Kinachotakiwa kwa kila Mwananchi kuchukua tahadhari ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kituo cha Mawasiliano kilichochukua nafasi ya kituo cha ubungo ni moja ya vituo bora kabisa vya daladala afrika mashariki na kati. Lakini cha kushangaza na kutia aibu ni kwamba barabara...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Pamoja na ukweli kuwa zoezi zima la mnada wa nyumba za Rugumi limegeuka kuwa ni kichekesho pengine cha kumaliza mwaka, kwangu mimi kuna fundisho kubwa. Kwenye mambo mengi watanzania tumekuwa...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imeuruhusu upande wa Jamhuri kwenda mahabusu kuchukua maelezo ya washtakiwa Harbinder Sethi na James Rugemalira kwa ajili ya ukamilishaji...
0 Reactions
0 Replies
796 Views
Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) limesema watoto milioni 77 ambao ni sawa na mtoto 1 kati ya 2 wanaozaliwa hawapati maziwa ya mama muda mfupi baada ya kuzaliwa ambapo wanakosa virutubisho...
0 Reactions
1 Replies
716 Views
wadau acheni kabisa maisha ya huku uswahilini ndo maisha hasa ...mpaka mtoto anakua na kuoa au kuolewa ujue amepitia misuko suko mingi sana. kama ni wa kike ujue ameshabakwa sana au amekoswa koswa...
22 Reactions
36 Replies
5K Views
Hivi Tanzania ya viwanda ndo hii?? Naambiwa nimeshinda kitita cha pesa katika shindano ambalo sikushiriki kwa vyovyote vile. Imekaaje hii waungwana? Hatuvumbui vya maana ila utapeli...
1 Reactions
50 Replies
5K Views
BREAKING NEWS: Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana unateketeza nyumba moja eneo la Ubungo kwa Mbonde muda huu. =========UPDATE Kikosi cha zimamoto kimewasili eneo la tukio kuanza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kususa hakujaanza leo. Kama unakutana na wasusaji leo hii katika awamu hii ngumu kiuchumi,kisiasa na kijamii usijilaumu wala kujisikia vibaya. Ebu mshukuru Mungu,cause that is a blessing in...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Yaani hili lijinga kweli hebu lisikilize baada ya ununuzi. Sheria yachukua mkondo wake.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa habari niliyopata hivi punde : Inasemekana Mamba ameuawa pembezoni mwa hoteli ya Tilapia jijini Mwanza leo mchana. ===== Mamba huyu ameuawa kwa kupigwa risasa na Maliasili baada ya kuibuka...
7 Reactions
290 Replies
39K Views
sifa kubwa ya madikteta ni kutopenda kukosolewa na kusikiliza mawazo mbadala hivyo hutumia nguvu nyingi ku crackdown opponents haswa wale wanaoonekana wana akili,pia madikteta hupenda sana wajinga...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu, Nimefuatilia kwa makini sana na kurudia zaidi ya mara 20 kuangalia video clip za mnada wa nyumba za Lugumi kuna findings nimezigunduwa ambazo hakuna mtu anayezihoji hata mmoja...
44 Reactions
183 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…