Usambazaji wa mabomba ya gesi asili majumbani

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,376
Reaction score
3,977
Katika nchi zilizoendelea kitu kama gesi inapatikana katika kila nyumba kama ilivyo huku kwetu na maji mijini.

Nishawahi sikia TPDC (shirika la maendekeo ya petroleum) kua lina mpango wa kusambaza gesi katika makazi ya watu na kua wangeanza kwa majaribio kwa mkoa wa DSM,vipi kuhusu mradi huo sababu leo nimepita maeneo ya Mlimani nikakutana na hii beacon.

0364c3f0b03b8a4a33f783f0e72d00ec.jpg

Itakua njema kweli bomba mpaka jikoni unaunganisha tu na jiko lako na kuna meter hapo zinazoma umetumia unit ngapi na sio kama hii mitungi kitu kinakata kabla hujaivisha.
 
Hee wakuu huu uzi hamjauona au?[emoji6]
 
Naona watu wanapita kimya kimya, mkuu kama sikosei Kikwete wakati anamalizia kipindi chake hizi habari za kusambaza mabomba ya gesi hadi majumbani ziliongelewa sana ila utekelezaji wake sijui ulifikia wapi na alipo ingia raisi mwingine ndio binafsi sijasikiapo wizara husika ikitia neno kuhusu utekelezaji wa huu mradi.
 
hilo bomba ni kwa kwa ajili ya kusambaza kwenye industrial Area Mikocheni !
kampuni moja wapo inayo tumia ni Coca-Cola za majumbani Adi hapo maji yatakapo patikana bila leakage kwenye Mabomba ya maji safi na maji taka kwenye kila nyumba baada miaka 60badae ndio Gas ifuate!!
 
Jamani, gesi ya bomba ni hatari kwa viumbe wote siyo kwa binadamu bali kwa viumbe vyote.

Kama, hapo Tanzania mnyama Twiga anapanda ndege na hakuna watu wanaomuona wakasindikizwa na tumbili +ngedere ++ na vyura wa kihansi!!!

Gesi ya bomba mtaiweeza let's say, ikitokea likange mnaweza kuigundua, kuiziba au kuzima moto wa gesi!?

Mfano, moto wa mabua tu nyumba zinawaka zinaisha , zima moto wanafiki bila maji na vingora na magari makubwa yakiwa na mipira na ngazi ndeefuuu ila maji wanayokuwa nayo ni kibaba kimoja.

Ni bora tutumie kwanza kuni, mkaa na gesi za mitungi ya kawaida hadi tuwe na uwezo wa kuhakikisha usimamizi madhubuti wa gesi na majanga yanayo ambatana na matumizi ya gesi.
 
Mkuu kwani leakage ya maji inaingiliana vipi na gesi?
Basi nikafikiri kua kuna tawi hapo litakua limechepushwa linaingia Mcity hapo kwenye mighahawa ya hapo[emoji15] [emoji15]
 
Naona watu wanapita kimya kimya, mkuu kama sikosei Kikwete wakati anamalizia kipindi chake hizi habari za kusambaza mabomba ya gesi hadi majumbani ziliongelewa sana ila utekelezaji wake sijui ulifikia wapi na alipo ingia raisi mwingine ndio binafsi sijasikiapo wizara husika ikitia neno kuhusu utekelezaji wa huu mradi.
Yaani ndio ujinga wa nchi hii,kila mpango unadumu miaka 2-3 then akiingia mwingine unakufa.
 
Jamani, gesi ya bomba ni hatari kwa viumbe wote siyo kwa binadamu bali kwa viumbe vyote.

Kama, hapo Tanzania mnyama Twiga anapanda ndege na hakuna watu wanaomuona wakasindikizwa na tumbili +ngedere ++ na vyura wa kihansi!!!

Gesi ya bomba mtaiweeza let's say, ikitokea likange mnaweza kuigundua, kuiziba au kuzima moto wa gesi!?

Mfano, moto wa mabua tu nyumba zinawaka zinaisha , zima moto wanafiki bila maji na vingora na magari makubwa yakiwa na mipira na ngazi ndeefuuu ila maji wanayokuwa nayo ni kibaba kimoja.

Ni bora tutumie kwanza kuni, mkaa na gesi za mitungi ya kawaida hadi tuwe na uwezo wa kuhakikisha usimamizi madhubuti wa gesi na majanga yanayo ambatana na matumizi ya gesi.
Wewe bwana,sasa huo uwezo unaweza ukapatikana bila kua na mfumo kama huo?sawasawa mtu aseme atacheza mpira vizuri bila kua anafanya mazoezi mara kwa mara.
 
Mkuu kwani leakage ya maji inaingiliana vipi na gesi?
Basi nikafikiri kua kuna tawi hapo litakua limechepushwa linaingia Mcity hapo kwenye mighahawa ya hapo[emoji15] [emoji15]
juwa kwanza Gas siyo maji!!!
inahitajika miundo mbinu imara kweli kweli mitaa iliyopangika kweli kweli vitoa tahadhari vyenye kutumia network imara kweli kweli,!!!
Labda sehmu malumu tu inaweza tumika kwa sasa ukiangalia sehemu za viwanda zina wataalam na miundo mbinu mizuri!!!
kupitisha Gas kwenye majumba ya tandale na kwingineko ni sawa na kumpa dereva boda boda arushe ndege!!!
kwa sasa tupambane na miundo imara ya maji taka na maji safi kwanza !!
 
Wewe bwana,sasa huo uwezo unaweza ukapatikana bila kua na mfumo kama huo?sawasawa mtu aseme atacheza mpira vizuri bila kua anafanya mazoezi mara kwa mara.

bukoba boy ,
Sijaandika kuwa haiwezekani bali nasisitiza kuwa tunahitaji umakini na maandalizi ya kutosha yaani, Matumizi ya gesi majumbani kutoka kwenye bomba kama ilivyo kwa maji ya Dawasco siyo jambo la mchezo.

Mfano, soma comment namba #10 ya Mhe fundi25 ,,, hapo juu utaelewa nilichokiandika pia.

Mfano, hapo Tanzania ni mara ngapi pametokea bomba la maji likapasuka na ikachukua siku moja hadi wiki nzima pasi kurekebishwa?

Sasa kwa gesi, ikitokea gesi ikatoka kwa muda wa sekunde 30 tu nje ya mfumo huo wa bomba basi ujue mtaani hapatatosha kwa mbio za Marathon mtakazozifanya kwa taharuki ya moto.
 
Maji shida....umeme shida...hii gas sijui itakuwaje.
Itapendeza......
 
Katika nchi zilizoendelea kitu kama gesi inapatikana katika kila nyumba kama ilivyo huku kwetu na maji mijini.

Nishawahi sikia TPDC (shirika la maendekeo ya petroleum) kua lina mpango wa kusambaza gesi katika makazi ya watu na kua wangeanza kwa majaribio kwa mkoa wa DSM,vipi kuhusu mradi huo sababu leo nimepita maeneo ya Mlimani nikakutana na hii beacon.

0364c3f0b03b8a4a33f783f0e72d00ec.jpg

Itakua njema kweli bomba mpaka jikoni unaunganisha tu na jiko lako na kuna meter hapo zinazoma umetumia unit ngapi na sio kama hii mitungi kitu kinakata kabla hujaivisha.

Hii nchi kusambaza maji kumewashinda ndo wataweza gas?
 
Kitu kizuri mno,ila ninapendekeza kisiwe Dar,mradi huo upelekwe hata Iringa angalau..Dar miundo mbinu yake imesongamana sana.
 
Usitegeme kabisa mabomba ya gesi yasambazwe majumbani hyo haitokuja tokea,
Tulishafeli Siku nyingi kuna suala la miundo mbinu sisi miundo mbinu tulishaiuaaa kitambo..
Mabomba ya maji tu tumeshindwa kusambaza sembuse mabomba ya gesi kuyaleta majumbani.....
Sisi tz tunaishi bora liende tu

Ova
 
Katika nchi zilizoendelea kitu kama gesi inapatikana katika kila nyumba kama ilivyo huku kwetu na maji mijini.

Nishawahi sikia TPDC (shirika la maendekeo ya petroleum) kua lina mpango wa kusambaza gesi katika makazi ya watu na kua wangeanza kwa majaribio kwa mkoa wa DSM,vipi kuhusu mradi huo sababu leo nimepita maeneo ya Mlimani nikakutana na hii beacon.

0364c3f0b03b8a4a33f783f0e72d00ec.jpg

Itakua njema kweli bomba mpaka jikoni unaunganisha tu na jiko lako na kuna meter hapo zinazoma umetumia unit ngapi na sio kama hii mitungi kitu kinakata kabla hujaivisha.
Mabomba yalitandazwa zaidi ya miaka kumi iliyopita hata hivyo mengi yalikwisha katwa, kulingana na ujenzi wetu holela na barabara zisizoeleweka hivyo mabomba yatakatwa mtu kila siku na watu watajiunganishia kama wafanyavyo kwenye maji, mpango utaligharimu taifa kwa mioto isiyotarajiwa.
 
juwa kwanza Gas siyo maji!!!
inahitajika miundo mbinu imara kweli kweli mitaa iliyopangika kweli kweli vitoa tahadhari vyenye kutumia network imara kweli kweli,!!!
Labda sehmu malumu tu inaweza tumika kwa sasa ukiangalia sehemu za viwanda zina wataalam na miundo mbinu mizuri!!!
kupitisha Gas kwenye majumba ya tandale na kwingineko ni sawa na kumpa dereva boda boda arushe ndege!!!
kwa sasa tupambane na miundo imara ya maji taka na maji safi kwanza !!
Miundombinu inajengeka usitishike hovyo.
Na hata hvo mpango wao ulikua ni kuanza utandazaji katika maeneo yaliyofanyiwa survey .
Kwanini uwe na hofu ya mabomba kuvuja ?
 
Mabomba yalitandazwa zaidi ya miaka kumi iliyopita hata hivyo mengi yalikwisha katwa, kulingana na ujenzi wetu holela na barabara zisizoeleweka hivyo mabomba yatakatwa mtu kila siku na watu watajiunganishia kama wafanyavyo kwenye maji, mpango utaligharimu taifa kwa mioto isiyotarajiwa.
Wakuu haya mabomba yanapitishwa maeneo yaliyopimwa.
 
Miundombinu inajengeka usitishike hovyo.
Na hata hvo mpango wao ulikua ni kuanza utandazaji katika maeneo yaliyofanyiwa survey .
Kwanini uwe na hofu ya mabomba kuvuja ?
Pombe siyo maji!!!!
 
Back
Top Bottom