Makontena ya Makinikia Bado Yapo Bandarini?

Makontena ya Makinikia Bado Yapo Bandarini?

Kichumi

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
588
Reaction score
516
Wakuu mimi swali langu ni hilo tu kwa leo.

Je yale makontena ya makinikia bado yapo Bandarini hadi napopandisha huu uzi? Mwenye kufahamu atujuze na tupicha atupie hapa tuone. Maana sisi wengine hatuamini hadi tuone.

By the way kama yapo, what's the way forward? Si yarudishwe Bully yakafukie yale mashimo.
 
Ungeli wauliza wanayo yashikilia ungelipata jibu zuri aisee!
 
Back
Top Bottom