Leo nilikuwa mahali kwenye mishe nimeshudia gari 'mpya' za polisi zilizokarabatiwa kule Moshi zikipita kwa mbwembwe. Lakini cha kushangaza kila gari ilionekana kusheheni magunia ya mkaa. Cha kujiuliza hapa hiyo ndio kazi yake? ,Pili wamelipia ushuru maliasili? Maana wamepita kwenye point moja ya maliasili wala hawakusimama.
Nawasilisha
Nawasilisha