Meneja huduma wa SUMATRA yuko live Clouds akielezea katazo la kujadili siasa kwenye daladala!


M

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
1,668
Likes
1,434
Points
280
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
1,668 1,434 280
Amesema ni marufuku kujadili siasa, kufanya biashara wala kuhubiri injili kwenye dala dala, na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na atakayekwenda kinyume atashtakiwa. Amesema hizi ni sheria mpya toleo jipya.

Karibu

Chanzo: Clouds 360
 
Kwisense

Kwisense

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Messages
284
Likes
429
Points
80
Kwisense

Kwisense

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2017
284 429 80
Amesema ni marufuku kujadili siasa, kufanya biashara wala kuhubiri injili kwenye dala dala, na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na atakayekwenda kinyume atashtakiwa. Amesema hizi ni sheria mpya toleo jipya. Karibu, source Clouds 360!
toleo la 8 la mwaka 2017
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,357
Likes
31,571
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,357 31,571 280
Hivi kweli jamani hizi elimu za Tanzania zinaleta products gani kwenye jamii?
tatizo lilianzia udsm ..ilivyotoa magu product. sasa angalieni hawa mapotatoes..mwisho wa siku watatuchagulia boxer za kuvaa
 
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
1,668
Likes
1,434
Points
280
M

Martin George

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
1,668 1,434 280
Hivi kweli jamani hizi elimu za Tanzania zinaleta products gani kwenye jamii?
tatizo lilianzia udsm ..ilivyotoa magu product. sasa angalieni hawa mapotatoes..mwisho wa siku watatuchagulia boxer za kuvaa
Umenikumbusha " the hill" !!
 
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
1,893
Likes
3,928
Points
280
Z

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
1,893 3,928 280
yup yup yes yes yes yoooooo,karibu malaika wa kufungia mitandao anashuka,yupo kolomijeeeee
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
45,357
Likes
31,571
Points
280
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
45,357 31,571 280
Umenikumbusha " the hill" !!
unawaongelea kina Sean Connery, na Hendry walivyokuwa wanawalazimisha mateka wapande kwenye man made mountain in the desert? ama ipi
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
12,416
Likes
21,011
Points
280
Age
25
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
12,416 21,011 280
Anyway kuna upuuzi mwingi wa kujadili hata hivyo, tutaanza na Dr Shika na 700 hazitadhuru, tutakuja na kesi ya manslaughter na stay strong Dady is Coming.

Whole lot of shit to discuss
 
atug

atug

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
2,080
Likes
1,999
Points
280
atug

atug

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
2,080 1,999 280
Kaongelea wale wanaopanda kwenye mabasi na kuanza kuhubiri au kuongelea siasa na wale wanapanda mabasi kuuza bidhaa zao. Lakini marufuku hii haimgusi abiria aliekaa na jirani wanajadili maana wanayo haki ya kikatiba
 
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2014
Messages
12,416
Likes
21,011
Points
280
Age
25
Castr

Castr

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2014
12,416 21,011 280
Mtoto wangu ana miezi 10 hua ana kamchezo fulani hivi.
Atachukua simu yangu ya batan ataipeleka mdomoni, akiona simfanyi kitu ataifuata na ya android na kuanza kuitia mdomoni.

Target yake hua ni android ila hii ya batan hua kama anapitia njia akiangalia nipo willing kiasi gani kumuachia.

Nahisi serikali ina target yake wakiona kwenye mabasi tumetii itakuja nyumbani, kisha mitandaoni. Show imeisha.
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,939
Likes
1,212
Points
280
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,939 1,212 280
Makubwa umbea utazidi tanzania.
 
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Messages
5,669
Likes
1,696
Points
280
W

wa hapahapa

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2012
5,669 1,696 280
bora tuwe na chama kimoja tu ccm... maana hadi hao sumatra nao wamekuwa wanasiasa....
 
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Messages
12,106
Likes
23,140
Points
280
sumbai

sumbai

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2014
12,106 23,140 280
Hivi kweli jamani hizi elimu za Tanzania zinaleta products gani kwenye jamii?
tatizo lilianzia udsm ..ilivyotoa magu product. sasa angalieni hawa mapotatoes..mwisho wa siku watatuchagulia boxer za kuvaa
Mkuu hapana. Hizo products za udsm ni safi tuu. Sema siasa mkuu zinawaharibu.

Hata wewe ungekuwa pale ungesema tusiongelee siasa hata ukiwa na mke wako chumbani.
 

Forum statistics

Threads 1,235,139
Members 474,353
Posts 29,213,101