KELVIN GASPER
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,066
- 454
Mwanaume mmoja mkazi wa Manzese jijini amefariki dunia wakati akifanya mapenzi maeneo ya Tandale kwa malaya wanapojiuza. Mwanaume huyo ni Dereva wa taxi. Polisi walifika na kufanya upekuzi walimkuta kavaa ndomu na vidonge vinne vya Viagra. Inasemekana alimeza viwili kabla.mwanamke alitimua mbio polisi wameondoka na mwili pamoja gari ya marehemu.