Anaongea kimatendo, in fact kimatendo yuko very loud kuliko hap wengine!Najua walau mzee Regnald mengi akiongea, Mo, na matajiri kadhaa
Huyuu mzee wetu ni bubu?
Kwani mkuu wewe ulishawahi msikia? Maana nianze na wewe
Kweli mkuuBakhresa BRAND yake ni kubwa inafahamika kila kona hata kwa watoto wadogo
Hivo hahitaji kujitangaza kwa wananchi wanahitaji huduma zake na hawa muhitaji BAKHRESA
Uisla unatuhimiza kutangaza misada tunayo itowa kuwasaidia wenzetu
Uislam umehimiza kuwa ukito kitu kwa mkono wa Julia hapaswi hata aliyoko mkono wa kulia kujua.
BAKHRESA huwa anaonekana kwenye runinga lakin kwa matukio maalum
Hao wengine unao waongelea wanatafuta KIKI ili wafahamike na ndomaana hata wakitoa Msaada wa PIPI lazima wajitangaze kila mahali ili wapate fahamika zaidi.
Ukitaka kusadiki haya vuta kumbukumbu hao matajiri huwa unawaona zaidi kwenye EVENT zipi? Kama siyo kwenye kutoa misada.
Yeah ni group of companies..ila amejitahidi kutengeneza FlagshipMi nijuavyo Bakhresa si mtu mmoja ila ni kikundi cha watu ila kuna kiongozi wao
Anatupa funzo sanaNi nzuri kwa Bakhresa maana amefanikiwa kufanya institutionalization. Hata akifa leo (Mungu apishie mbali) pengine Bahresa group itaendelea vizuri.
Wengine hao utaona their personal brands zinashindana na brands za makampuni wanayoyaongoza au kuyamiliki. Hii ni tatizo.
Bhakhresa ni Mzee kwa sasa sidhani km bado ana shobo na sidhan km ata Leo ukimuuliza utajiri wake ni kiasi gani sidhan km anajua.... Watoto wake ni watu wazima sana wapo kwenye 50+ yrs.... BTW sidhan km itapita wiki hujaongea na Bidhaa ya Bhakhresa