Mtangazaji huyu anapata taabu sana

Mtangazaji huyu anapata taabu sana

Job K

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
9,314
Reaction score
7,169
Naangalia hapa channel ten kipindi cha Makwaiya wa Kuhenga Mada: Miaka miwili ya uongozi wa Rais Magufuli. Daaa,, namwona Makwaiya anapata tabu sana wachangiaji mada wanavyotoka kwenye yale anayotaka yeye! Kuna haka ka kijana kalikovaa t-shirt nyekundu kamegoma kabisa pamoja na jitihada zake za kutaka kaseme anavyotaka yeye mpaka anashindwa kukaa vizuri kwenye kiti kwa jinsi anavyohaha kukadhibiti!! Namwona yeye anataka waseme mazuri tu lakini wakisema hakuna mazuri ya kupigiwa mbinja jamaa anaugua moyoni kabisa!! Kazi tunayo!
 
Waache waendelee na kipindi chao
Huyo dogo anataka awaharibie ngoja waisome namba
 
Back
Top Bottom