donniebrasco
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 887
- 775
Binafsi nimegundua kuwa watanzania tumekuwa na TITLE za uongo sana kwenye video tunazoweka YOUTUBE kuliko wenzetu wengi, sasa sielewi ni kwa nini hasa!?
Hili tatizo linaudhi sana,
Itafikia kipindi wengi hawatofungua video yoyote yenye TITLE ya kiswahili.
Tujitahidi tubadilike.
Hili tatizo linaudhi sana,
Itafikia kipindi wengi hawatofungua video yoyote yenye TITLE ya kiswahili.
Tujitahidi tubadilike.