Simuamini mleta chai yeyote

Simuamini mleta chai yeyote

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2013
Posts
942
Reaction score
567
Hi great thinkers Leo nimeingia hotel Fulani kuna boy mmoja akataka kuniletea chai nikamsitisha nikaenda panga foleni mwenyewe watu walistajabu.Mmiliki wa mgahawa akaja kuniuliza kwanini nimekataa.Siku mjibu kwani nikitaa kuletewa chai au chakula nikatafuta mwenyewe kuna shida!
 
Ukishaamka mtafute Mshana jr huenda atakusaidia maana ya ndoto hiyo.
 
Unahofia kutemewa mate na makohozi, kama ni mwanamke anajishika chini alafu anachovyo kwenye chai au chakula chako...

Hayo mambo hayapo Tz, nchi za nje sawa, hususan Marekani...

Cc: mahondaw
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom