Lasway.Jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 233
- 418
Naandika Uzi huu kwa masikitiko makubwa kwa hali niyoikuta mikoa ya kusini
Katika harakati zangu za kusaka Mpunga yaani mapene nilifanikiwa kupata kazi moja katika mkoa wa Lindi kwenye taasisi Fulani baada ya kufanya negotiations na wakanilipa advance nilianza safari ya kwenda Mkoani Lindi ikiwa ni Mara yangu ya kwanza kufika mkoani pale , kwa sababu mwaka Jana niliishia pale daraja la mkapa.
Basi nikakusanya mizigo yangu na vifaa vyangu vya kazi nikaanza safari , njiani baada ya kupita Mkuranga nianza kuona vijiji vilivyo katika hali ya utofauti na sio kama maeneo mengine ya mikoa niliyofanya kazi
Njaini nilikutana na hoteli moja tuu ambayo sio nzuri sana ukilinganisha na hoteli za maeneo ya njia kama ya DSM-arusha, dsm-mbeya na kwingineko lakini hoteli ile ndio ilikuw kituo cha mabasi yote ya Kanda ya kusini kusimama ili abiria apata chochote (nimeona fursa ya kuwekeza kwenye hoteli katika njia ya DSM-mtwara , soko liko wazi halina ushindani kabisaaa
Bhasi nilifika Lindi mjini na badae nilidafiri kama 20km na kupokelewa na wenyeji wangu na nikapeleka material site kama ilivyo ada kwa ma engineer
Nilifanikiwa kufanya kazi kidogo siku ile na niliweza kushauri marekebisho kidogo kwenye ile site
Jioni ilipofika nilitafuta lodge ya kulala pale na nifanikiwa kupata
Lakini cha kushangaza UMEME kwa wananchi wa Lindi ni kama anasa ni kitu ambacho kwao kukipata ni majaliwa , kwa muda wa siku tatu niliokaa pale Umeme ulikuwepo kwa tatribani masaa yasioyozidi 9 kwa jumla ya siku tatu , sasa nikajiuliza ni kwa namna gani fursa za uwekezaji zitapatikana endapo Umeme ni shida namna hii
Japokuwa watu wengi wamekula bingo kwenye korosho lakini wanashindwa kufanya uwekezaji kutokana na hali kama hii
Naomba wana Lindi mpige kelele shida hii iondoke bila ivo mtaishia kuwa mkoa wa mwsho kwenye kila kitu
Fursa za mashamba zipo na mm tayr nimeshapata hekari zangu 20 nitazikamilisha soon na kuanza kupanda korosho
Lindi mpooooo