Hawa jamaa huwa wako siriasi sana linapokuja suala la usalama wao na ndio maana kila askari ana bastola yake kiunoni.
Na ukiwa mkaidi ndo yanakukuta kama yaliyomkuta huyu dogo hapa
Kabla ya hapo Mchezo ulikuwa hivi
Na kuzuia mikutano ya upinzaniPolisi wa makonda wako very active hasa kwenye mambo ya mwisho saa 6