Huwa unayaelewa maamuzi ya serikali ?

Kinga kingdom

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
774
1,000
Salaam wakuu,

Binafsi huwa najiuliza hivi katika kufanya maamuzi serikali huwa ina angalia faida na hasara?

Huwa inakuwa wapi wakati watu wanajenga nyumbaaa sehemu ambazo hazistahili?wanawaacha wajenge wamalize,wahamie wakae miaka then waje kuwaambia hampaswi kuwa hapa,wanawabolea nyumba zao!

Hivi karibuni tumeona kiongozi mmoja huko hai aking'oa mazao na vitendea kazi katika bustani ya mheshimiwa Mbowe!!!

Swali ina maana wameshindwa hata kutumia busara kidogo kwa kuongea na Mbowe kuhusu bustani yake?ina maana wameshindwa kusubiri mboga mboga zikomae wavune then wasitishe huo mradi?

Kama hiyo haitoshi kwann wasingemwandikia barua Mbowe ya kumtaka asitishe huo mradi baada ya mavuno?

Hasara ya mazao ni kubwaaaa na kikubwa ni kuwakatisha tamaa wakulima wa dogo! !!

Hivi wanaposubiri watu wafanye mambo au maendeleo then waje kudistroy huwa wanakua wapi?

Hata kama huwa wananchi wanakosea lakini huwa hakuna kusolve mambo kwa hekima?ni nguvu tu?

Mh Mbowe kwa sasa nadhani kila afanyacho wanamuundia zengweee! !!but any way labda jamaa ni mkoseaji wa kila kitu!!!japokua naona kama hekima ndio mwamuzi mzuri wa mambo!!

Nawakilisha! !!
 

gollocko

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
2,950
2,000
Siku ukipata madaraka, utapata majibu yako yote, ukiwa huku uraiani ni ngumu kujua
 

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
11,126
2,000
kwani hio sheria ya makazi ilianza lini?wale wote waliojenga kabla ya hio sheria kupitishwa,walipwe kama wamebomolewa...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom