Mereran hamna almas babuSubiri wakujibu au nenda Mererani kabla hawajamaliza kujenga ukuta,me natafuta u top 3 tu katika siti.
Hivi huwa wanachonga almasi kutumia vifaa gani?in geology kuna kipimo kinachoitwa mohs hardness scale... na kipimo hiki kinaonesha list ya minerals depending on their scratchability na kinabase on the fact that harder minerals can scratch/destroy softer minerals... with dimond being at the bottom of the list haiwezi kuharibiwa na minerals zingine ispokua another dimond..
so bro domond inaweza kuharibiwa na dimond nyenzake na sio minerals nyengine..
since dimond is the hardest mineral inachongwa kwa kutumia dimond blade, saw ya kawaoda haiwez kuichonga..Hivi huwa wanachonga almasi kutumia vifaa gani?
Aah nlijua TanzaniteMereran hamna almas babu