Salaam wapendwa.
Leo nimepokea kwa huzuni habari za kifo cha aunty yangu(ulale pema peponi shangazi)
Allikua anasumbuliwa na saratani ya titi,
As a coincidence ,asubuhi hii pia nimesoma habari...
Naomba kuuliza jamani mh Jamal malinzi na Rais wetu wa msimbazi bado wapo kolokoloni au wemeshatoka?
Mbona kimya sana naomba mtujuze mnaojua hawa vigogo wapo wap?
Nawasilisha
Waziri wa habari , mh Mwakyembe amekemea tabia ya watu mbalimbali wakimwemo viongozi kupenda matumizi ya lugha zao za asili(makabila yao).
Amesema kwa sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa watu...
Hamjambo.
Naomba kujua kama polisi watachukua vijana fresh from school bila kupita jeshi la kujenga taifa.
Je ni lini usaili wa polisi hufanyika?
Kwa niaba ya wadogo zetu walokosa nafasi...
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Kleist Sykes Amefariki dunia
Huwezi kuzungumzia Historia na Siasa za Tanzania bila familia hii ambayo mchango wake kwenye uhuru wa Tanganyika nathubutu...
Wadau
Kutoka Wilayani Bunda mwanafunzi wa darasa la saba amejifungua watoto mapacha.
Mwalimu wake atuhumiwa kuhusika. RC Mkoa wa Mara Mhesh Adam Malima aagiza vyombo vya usalama kuchukua hatua...
Kwa mujibu wa mwanasheria mkuu, muswada wa fao la kujitoa unafikiriwa kuwasilishwa na iwapo hautowasiliishwa, basi wabunge wataamua juu ya hatima ya fao la kujitoa.
Maelezo hayo ya mwanasheria...
Watz, ni watu wa matukio sana,
Babu wa Loliondo alipovuma maprofesa na watu wenye elimu na akili zao timamu walipigwa ganzi kabisa na kumuamini kwa 100% na hata kuna mmoja ambaye hivi sasa ni...
Tanzania Daima, linaripoti kuwa, mapendekezo kuhusu fao la kujitoa kutua bungeni.
Ukimsikiliza Mheshimiwa Mavunde katika maelezo yake kwa mbunge aliyetaka kufahamu juu ya fao la kujitoa ni...
SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), limeokoa kiasi cha Sh. bilioni 160 kwa kipindi cha mwaka mmoja kutokana na kudhibiti malipo hewa ya fao la kujitoa, imeelezwa.
Mkurugenzi Mkuu wa...
Ukatili wa kijinsia ni ukatili wowote unaofanywa na mtu kumfanyia mtu mwingine bila kujali umri maumbile kabila rangi dini au mitazamo tofauti ya kisiasa au mingine.
Lakini hii inaweza kuwa...
Wanajamvi ; mgawo wa umeme ulikuwa umekwisha lakini baada ya utafiti mdogo kila siku maeneo ya Temeke [; Umeme umekuwa wa mgawo.
Jana na juzi umeme unakatika saa 2:58 usiku ; kurudi asubuhi...
Binafsi naomba tamko la mkuu wa nchii hii kuhusu hii mifuko ya hifadhi ya jamii maana sasa imekuwa ni taabu tupu.
Mara ya kwanza NSSF mlikubali mwanachama anaweza kufungua madai ya kujitoa baada...
LAPF imewatoa hofu wanachama wake kuwa faomla kujitoa bado linatolewa na mfuko huo kisheria
Meneja wa mafao wa mfuko huo Mkeyenge Ramadhani amesema ili kutoa kitu chochote ambacho kipo kisheria ni...
Wadau,
Mimi nimefanya kazi miaka 12 nikaamua kuacha kazi nikiwa na biashara zangu ndogo ndogo nikajua kiasia nilichonacho NSSF around 60milioni ingeniwezesha kupanua biashara zangu na kwenda...
Hivi Kwa Nini TUCTA Hawazungumzii Fao La Kujitoa?
Tangu uongozi mpya wa TUCTA chini ya akina Tumaini Nyamhokya uanze kazi, sijawahi kuusikia ukizugumzia fao la kujitoa, tofauti na uongozi...
Nimetazama tangazo la pipi nadhani kama aikosei ambalo linamuonyesha Benpol akiwa kama msanii wa uchoraji anachora picha na wasichana wanapita njiani anawaita anawaambia "unaona" amekazana halafu...
Habari wakuu!
Japo ni mtembeaji sijawahi ku apply Visa Ubalozini, ama nimeingia kwa free visa/entry permit kwa nchi za ki Africa, nje ya Africa nimekuwa nikitumiwa visa.....
Kwa Wazoefu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.