Mgawo wa umeme umeanza toka IPTL wazime mitambo?

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,573
Wanajamvi ; mgawo wa umeme ulikuwa umekwisha lakini baada ya utafiti mdogo kila siku maeneo ya Temeke [; Umeme umekuwa wa mgawo.
Jana na juzi umeme unakatika saa 2:58 usiku ; kurudi asubuhi.

Tunaomba Kinyerezi 11 wafanye haraka
 
Back
Top Bottom