Waziri wa habari akemea ukabila na vinasaba vyake

Chrismoris

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2017
Posts
14,608
Reaction score
18,544
Waziri wa habari , mh Mwakyembe amekemea tabia ya watu mbalimbali wakimwemo viongozi kupenda matumizi ya lugha zao za asili(makabila yao).

Amesema kwa sasa imekuwa ni suala la kawaida kwa watu kwenda mbele ya umma na kuanza kuwasalimia kwa lugha za makabila yao.

Akitolea mfano, mhe waziri, "UNAKUTA MTU ANASIMAMA MAHALI , HALAFU ANAWAAMBIA WATU , UGONILEEEE"

Mhe Waziri alitoa angalizo hilo na kuripotiwa na kituo cha televisheni cha ITV muda wa habari.

My take: Ni wakati muafaka sasa baba jessica et al wajichunguze kuhusu tabia yao ya kuwasiliana na watu kwa lugha zao za asili znazotengeneza matabaka ndani ya jamii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu kaichoka ajira!!! Uchwara alishasema hajaribiwi na huyu anamjaribu! Atakiona kilichomtoa kanga manyoya siku si nyingi zijazo.

Ameongea kwa ukali sana,
nadhan wenye tabia hiyo wataacha mara moja.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie naunga mkono na mguu Mkuu, lakini uchwara tunamjua hajaribiwi!! Not to that extent waulize Nape na Mafuru leo vyuma vimekaza.

Anajiamini na kazi yake.

Tumuunge mkono waziri kupinga ukabila.
 
Wakoromije washasema Mkuu hii ni awamu yao ya kula bata. Kikoromije kila kona, hutaki kibarua kinaota magugu. Chezeya uchwara weye!
Hahahahaha nilikua na mawazo kama yako... jamaa ndo wa kwanza kuchapa kikoromije hadharani na anajisikia prestige kweli aanze na yeye...

Ajabu eti ndo mgeni rasmi wa hiyo shughuli ngoja tuone
 
Nadhani kauli ya waziri inapaswa kuheshimiwa na kila mtu.
 
Mie naunga mkono na mguu Mkuu, lakini uchwara tunamjua hajaribiwi!! Not to that extent waulize Nape na Mafuru leo vyuma vimekaza.
Kwa jinsi mhe waziri alivyokemea, sitarajii kuona mtu anakiuka maagizo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha nilikua na mawazo kama yako... jamaa ndo wa kwanza kuchapa kikoromije hadharani na anajisikia prestige kweli aanze na yeye...

Ajabu eti ndo mgeni rasmi wa hiyo shughuli ngoja tuone
Lazima watii agizo la waziri mwenye dhamana.
 
Lol! Jamaa noma sana, leo kampiga Pinda bonge ya dongo hadharani bila hata kukwepesha. Mie ni Rais sasa hakuna wa kunizuia 🙂🙂

Hahahahaha nilikua na mawazo kama yako... jamaa ndo wa kwanza kuchapa kikoromije hadharani na anajisikia prestige kweli aanze na yeye...

Ajabu eti ndo mgeni rasmi wa hiyo shughuli ngoja tuone
 
Lol! Jamaa noma sana, leo kampiga Pinda bonge ya dongo hadharani bila hata kukwepesha. Mie ni Rais sasa hakuna wa kunizuia 🙂🙂
Hahaahhaahha nomaaa

Zdumu akili za bangi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lol! Jamaa noma sana, leo kampiga Pinda bonge ya dongo hadharani bila hata kukwepesha. Mie ni Rais sasa hakuna wa kunizuia 🙂🙂
Hakuna hatari kubwa kama mamlaka kuwa mikononi mwa watu wenye akili ndogo!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom