Ulizo! Mh Jamal Malinzi na Aveva

Ulizo! Mh Jamal Malinzi na Aveva

AKASINOZO

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
1,367
Reaction score
2,219
Naomba kuuliza jamani mh Jamal malinzi na Rais wetu wa msimbazi bado wapo kolokoloni au wemeshatoka?

Mbona kimya sana naomba mtujuze mnaojua hawa vigogo wapo wap?

Nawasilisha
 
Na fans base waliokuwa nayo hasa ukizingatia wote walikuwa 'MA-RAIS"
 
Back
Top Bottom