TANZIA: Aliyewahi kuwa Meya wa Jiji la Dar, Kleist Abdulwahid Sykes amefariki dunia

SWAHILIYA

Member
May 13, 2017
55
116
sykes-jpg.635544

Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Kleist Sykes Amefariki dunia

Huwezi kuzungumzia Historia na Siasa za Tanzania bila familia hii ambayo mchango wake kwenye uhuru wa Tanganyika nathubutu kusema ni Priceless

Mwanachama mwenzetu hapa Jamii Forums na Mwana Historia Mohammed Said atawaletea wasifu wake kwa undani zaidi

InnaLillahi wa Inna IlayhiRajiuun

=======
Huyu hapa MwanaJF mkongwe Mohamed Said akielezea jinsi alivyomfahamu Kleist Abdulwahid Sykes

Updates

Kleist Abdulwahid Sykes
(1950 - 2017)

Ratiba ya Mazishi

Alhamis 23/11/2017

Msiba nyumbani Kawe Beach karibu na Mediterraneo Hotel

Saa 5 asubuhi mwili kuwasili nyumbani

Saa 7 mchana adhuhur kusaliwa jeneza (maiti) hapo nyumbani

Saa 8:30 Jeneza kuelekea Masjid Maamur Upanga

Baada ya sala ya alasiri na kusalia jeneza itaelekea Makaburi ya Kisutu
 
Habari zilizopatikana hivi punde ni kuwa Kleist Sykes Amefariki dunia

Huwezi kuzungumzia Historia na Siasa za Tanzania bila familia hii ambayo mchango wake kwenye uhuru wa Tanganyika nathubutu kusema ni Priceless

Mwanachama mwenzetu hapa Jamii Forums na Mwana Historia Mohammed Said atawaletea wasifu wake kwa undani zaidi

InnaLillahi wa Inna IlayhiRajiuun
Poleni sana Mohammed Said, FaizaFoxy na ndugu na jamaa wote wa marehemu.
 
Kleist Sykes (1894–1949) was a Tanganyikan political activist. He helped form the Tanganyika African Association.

Sykes was born in Pangani to father Sykes Mbuwane, a Zulu mercenary hired by the German Empire, and a Nyaturu mother. After his father died, Sykes moved with his godfather, Effendi Plantan, to Dar Es Salaam, and would later fight for the Germans in the First World War.[1]

After the war, Sykes worked for the Tanganyika Railway. He met Dr. James Aggrey, a Ghanaian teacher, who inspired Sykes to form the Tanganyika African Association (AA) in 1929, along with friends including Mzee bin Sudi, Cecil Matola, Suleiman Mjisu and Raikes Kusi. In the 1930s, AA members built the organization's headquarters at New Street, where the Tanganyika African National Union would later be created in 1954.[1]

Sykes was the first African to join the Tanganyika Chamber of Commerce, and the second African to serve in colonial Dar es Salaam's Municipal Council.[1]

Sykes had three sons, Abulwahid, Ally, and Abbas, who would also have prominent careers in Tanzania.
 
Mkuu huo naona ni wasifu wa Kleist Sykes senior, huyu aliyefariki nadhani ni Kleist Sykes junior. Rest in peace, comrade Kleist Sykes.
 
Nadhani aliwahi kuwa Mayor wa Jiji la Dsm Miaka ya elf 2000 Huyu Mzee!
Kleist Sykes Jr!
 
Ulale pema peponi mzee Kleist Sykes. Umeimaliza safari yako, sisi tuliobaki tutapita njia hiyo hiyo.

Naikumbuka sana ile hadithi uliyotupa pale kwenye maghorofa ya jirani na ocean road mwaka 2001 tukiwa kwenye kusanyiko la watu walioishi mitaa ile ya gymkhana mpaka ikulu, hadithi iliyohusiana na wakati wa masomo yako nchini Canada.

Ukaenda kwenye msiba wa wazungu ukiwa umeshazoea misiba ya kitanzania ya mtu kujiendea tu halafu ghafla mwanafunzi mwenzako akakuita chemba akakuambia kuwa alikupa tu taarifa ya yeye kufiwa ila hakukwambia kuwa unahitajika pale makaburini!!.

RIP Mzee Sykes.
 
Back
Top Bottom