Ukatili wa kijinsia ni ukatili wowote unaofanywa na mtu kumfanyia mtu mwingine bila kujali umri maumbile kabila rangi dini au mitazamo tofauti ya kisiasa au mingine.
Lakini hii inaweza kuwa tofauti sana na inavyotambuliwa na wengi.
Wengi wanajua unyanyasaji huu ni wanawake na watoto tu.
Na hapa imeelekezwa katika mambo mbalimbali yakiwemo;
1: Kumpiga mwanamke
2: Kumyima mtoto elimu
3: Kumlawiti mtoto me/ke
4: Kumbagua katika mahitaji ya msingi jinsia me/ke
5: Kutowapa urithi warithi wa mali zao wanaohusika.
Lakini pamoja na hayo utakuta unyanyasaji mkubwa sana umejikita katika familia hususani watoto na wanawake.
Katika kutelekezwa au kuachwa kwa sababu tu za migogoro ya ndani.
Inapotoakea migogoro ya ndani hufanya familia kukosa upendo amani na chuki kuwa ndio sehem ya utawala wa familia.
Hali hii haimpi mwanya kiongozi wa familia kutunza familia kwa sahihi na hatimaye watoto hujikuta kuwa chokoraa na kukosa elimu na mahitaji mengine. Hii humpelekea mama mzazi au mlezi kukimbilia katika madawati ya familia kupata ufumbuzi.
Madawati ya familia yaje na taswira ya kuimarisha familia kwa kuunganisha familia kupitia mitaji ya kuwawezesha wakina mama kwani wanapoachwa na wenza wao hupata shida na familia. Kwa kuwapatia mitaji na usimamizi mzuri kwa kutumia maafisa wa uchumi na maaendeleo katika mitaa vijiji vitongoji na kata.
Hii itawasaidia wakina mama kubaki salaama na familia zao katika malezi na familia.
Wazazi wengine hukimbia nyumba kwa kukosa kipato kwa cha kumudu mahitaji ya familia kwa muda mrefu.
Hali hii imetokea sana wakati wa njaa na ukame vijijini na mijini.