Mwaka 2016 ulikua mwaka wenye neema sana kuanzia January mpka sept. Kwani nilikua na biashara ya kuuza electronics Dodoma..
Nilianza na mtaji mdogo sana wa shs 5m mzigo nikawa nachukulia...
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya kuugua kipindupindu wilayani Nyasa, Mkuu wa wilaya hiyo Isabela Chilumba amewataka wananchi wenye dalili za ugonjwa wa kipindupindu kuwahi matibabu
Kama mko makini mtakubaliana namimi kwamba rais aliyeko madarakani na rais wote waliopita hawateui wastaafu kutoka jeshi la magereza ukilinganisha na jwtz na polisi.
Ni wazi kwamba magereza ipo...
Habarini za asubuhi waungwana, na poleni na pilika na majukumu ya kila kukicha katika kupambana na maisha.
Samahani naomba kupata msaada wa namna ya kuweza kujiendeleza katika elimu hasa upande wa...
Kumezuka Tabia ambayo sidhani Kama inaruhusiwa ktk sheria zetu za ushindani. Kwa mfano viongoz kupigia debe vyombo fulani vya habari nakuvipotezea vingine.
Kwa mfano kiongoz yeyote kama anahabari...
Vijana mkienda kwenye interview mjiandae vizuri na sasa nimeamini sehemu yoyote waweza kupata kazi hata kwenye zile taasisi za serikali tulizokuwa tunasema hizi kazi zinawenyewe hata ukifanya...
Kwakweli tusipomtumia huyu mzee ipasavyo, Africa na dunia na TZ haitakuja tokea kiongozi wa namna yake kamwe. Nashuhudia kweli ya kwamba Rais Magufuli anafanya kazi na ana uchungu sana na nchi hii...
Kwa sasa Dunia inakwenda ktk standard utumishi uliobora.
Na hii nadhani mashirika mengi ya umma yanafanya jitihada ya kutambulika kimataifa utendaji wao ili kuionyesha Dunia kuwa Nchi fulani...
FAHAMU UPANA WA BARABARA NA HIFADHI YA BARABARA KUEPUKA BOMOABOMOA.
Jana asubuhi na mapema tarehe 23 Novemba, 2017 nilisoma gazeti la
mwananchi lenye kichwa cha habari “BOMOABOMOA MPYA DAR YAIBUA...
Nimepita sehemu Leo nikaona picha ya rapper wa kike machachar enz hizo Lisa lopes au kama alivojulikana 'left eye' ..pamoja na aaliyah ......nmekumbka meng na nmepta mazingatio makubwa sana ...
Kumekuwa vitu vinayochosha aina binadamu kuanzia anapojitambua mpaka kufa kwake jambo kuu ni lile linatajwa natafuta maisha mazuri.
watu watelekeza familia, wamepata magonjwa na hata kufa...
Wakuu Naomba kuuliza ni sababu zipi au vigezo vipi vinavyowez fany uzi fulani kufutwa.? Maana jana kuna uzi nilianzisha na ulikuwa na mwendelezo ambao nliplan kuendeleza leo lakin pia kulkuwa na...
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa...
Pamoja na malalamiko yote ya wadau wa uchumi kuhusu ukweli wa kuporomoka kwa kasi ya radi kwa uchumi wa Tanzania , bado Kariakoo ya jijini DSM kuna nafuu kubwa sana ya mzunguko wa pesa
Taarifa...
Dar/ Nairobi. Ukanda wa hifadhi za Taifa za Serengeti na Maasai Mara nchini Kenya ambao una mojawapo kati ya maajabu manane ya dunia yanayovutia watalii, unakumbwa na tishio la kimazingira...
Wadau,
Huo ndiyo utaratibu wa familia ya kifalme nyingi za kifalme ikiwemo Uingereza. Nafasi ya kuitwa "Binti Mfalme" au "Mwanamfalme" yawastahili wale tu waliobahatika kuoa au kuolewa ndani ya...
Wadau
Timu ya madaktari Bingwa wa upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili wamepiga kambi katika hospital ya rufaa Sokoine Lindi ili kupambana na kutokomeza ugonjwa...
Wadau
Jumla ya Wanafunzi 95 wa Shule za Sekondari Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wamepewa mimba katika kipindi cha kuanzia January- October 2017 na hivyo kukatizwa masomo yao.
Watuhumiwa bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.