Vituko vya EATV page;Serikali kugawa condom Yesu asharudi

Vituko vya EATV page;Serikali kugawa condom Yesu asharudi

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
899
Reaction score
1,239
Screenshot_20171128-215836.png

Mwaka 20130 kweli hii ni long term plan
Ckujua ka serikali yetu ina long term plan
 
kwa mwaka huo nadhani inawezekana ulimwengu utakua umebadirika sana
 
Yaani wanaacha kusambaza dawa mahosptalini wanawaza condom, kweli?
 
Cjawah kuona serikali hafifu
kama ya Tanzania
 
Wameshindwa kugawa million 50 kila kijiji sasa wanataka badala ya kulima kwa sana tulimane kwa sana,,
 
Sianzie ofisi za Ufipa.... Kabla hazijaenda mikoani....
 
Huo mwaka nitakuwa malaika mzoefu mbinguni kwa baba
 
Back
Top Bottom