Kwenu TBC1 hakiitwi 'Chuo Kikuu cha Ardhi' bali 'Chuo Kikuu Ardhi'. Acheni upotoshaji

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,064
40,725
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa angalau miaka 2 au faini ya walau milioni 6 ili iwe fundisho kwa wengine, wanakera sana!
==================================
UPDATE: WAMEREKEBISHA; Habari ya muda huu ya saa mbili usiku, wamerekebisha title na kuandika ''CHUO KIKUU ARDHI'
20171123_200306.jpg
 
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa angalau miaka 2 au faini ya walau milioni 6 ili iwe fundisho kwa wengine, wanakera sana!
Weka video hapa tuone

Hatujui unazungumzia nini
 
Hili suala tunarudia kuwarekebisha kila siku, lakini hamkomi, sasa naomba TCRA na uongozi wa chuo mkichukulie hatua kituo hiki kinachofanya kosa hili kila siku, aliendaa hiyo habari aende jela kwa angalau miaka 2 au faini ya walau milioni 6 ili iwe fundisho kwa wengine, wanakera sana!
Ingekuwa Clouds fm ingepigwa faini. Km walitangaza habari ya uongo ya Trump kumsifia magu kwann wasiendeleze ujinga wao?
Ukome kuangalia TBC
 
Kuna watu mnachekesha kutwa eti TBC niliacha kuangalia miaka 15"*iliyopita lakini unajua content za TBC kumzidi hata Rioba, so funny and pathetic
 
UPDATE: WAMEREKEBISHA; Habari ya muda huu ya saa mbili usiku, wamerekebisha title na kuandika ''CHUO KIKUU ARDHI'. Nimefarijika sana kuona kwamba wameweza kunielewa na kutekeleza ushauri

20171123_200306.jpg
 
Back
Top Bottom