Shobi
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 3,401
- 4,389
Kumekuwa vitu vinayochosha aina binadamu kuanzia anapojitambua mpaka kufa kwake jambo kuu ni lile linatajwa natafuta maisha mazuri.
watu watelekeza familia, wamepata magonjwa na hata kufa wakitafuta maisha mazuri
Je maisha mazuri ni nini?
Kipimo chake ni kipi?
Je kuna binadamu amewahi kukifikia?
ni mtazamo tu
watu watelekeza familia, wamepata magonjwa na hata kufa wakitafuta maisha mazuri
Je maisha mazuri ni nini?
Kipimo chake ni kipi?
Je kuna binadamu amewahi kukifikia?
ni mtazamo tu