Madaktari Bingwa wapiga kambi Lindi

Madaktari Bingwa wapiga kambi Lindi

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau

Timu ya madaktari Bingwa wa upasuaji kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili wamepiga kambi katika hospital ya rufaa Sokoine Lindi ili kupambana na kutokomeza ugonjwa wa Ngiri Kokoto na Ngiri Maji.

Jumla ya wagonjwa 165 tayari wamefanyiwa upasuaji na wataalamu hao.

Aksanteni.

Chanzo: ITV
 
Dah! Tuseme wamepelekwa huko kuimarisha ujuzi wao au ndo tuseme hilo gonjwa ndo limepiga nalo kambi huko?? Nawaza tuu
 
Back
Top Bottom