Msaada wa namna ya kusoma degree ya ICT online

enery

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
368
437
Habarini za asubuhi waungwana, na poleni na pilika na majukumu ya kila kukicha katika kupambana na maisha.
Samahani naomba kupata msaada wa namna ya kuweza kujiendeleza katika elimu hasa upande wa online, nataka kuendelea na program ya ICT. Kwa mwenye ujuzi wa mambo hayo naomba anijuze tafadhali, nitashukuru kwa masaada wenu na maelezo mtakayotoa.
Mungu awabari sana na muwe na siku njema

Putin.
 
Back
Top Bottom