Ajira ni kufaulu interview na sio kusingizia chochote

Ajira ni kufaulu interview na sio kusingizia chochote

BAF

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2017
Posts
422
Reaction score
511
Vijana mkienda kwenye interview mjiandae vizuri na sasa nimeamini sehemu yoyote waweza kupata kazi hata kwenye zile taasisi za serikali tulizokuwa tunasema hizi kazi zinawenyewe hata ukifanya intiview huwezi pata na sasa.

Nimeshuhudi haya kwa macho yangu kwa mtu aliyepata kazi pasipo Julikana na mtu yoyote Yule ktk eneo lolote lile ila ni uwezo wa kichwana aliokuwa nao.

Asante Rais wetu kwa kutengeneza mazingira ya Heshima kwa ofisi za Umma.
 
hongera mkuu, waza kama kuna mtu wanae mjua na ana hizo sifa
undugulization upo kila sehemu hata unaemsifia angalia teuzi zake zipoje
 
Back
Top Bottom