Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,064
Kwakweli tusipomtumia huyu mzee ipasavyo, Africa na dunia na TZ haitakuja tokea kiongozi wa namna yake kamwe. Nashuhudia kweli ya kwamba Rais Magufuli anafanya kazi na ana uchungu sana na nchi hii ila waliomzunguka nahisi hawako nae njia moja.
Wanamchora flani hivi na ndomana ni hadi yeye aende afukuege yeye tu. Maana yake asipofukua yeye hilo swala litapita kimya kimya, hebu cheki hiyo ishu ya bandarini
Daah, rais wangu Magufuli sijui kwanini ulichelewa sana kuwa Rais.