Rapper left eye and Aliyah

Rapper left eye and Aliyah

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
460
Reaction score
299
Nimepita sehemu Leo nikaona picha ya rapper wa kike machachar enz hizo Lisa lopes au kama alivojulikana 'left eye' ..pamoja na aaliyah ......nmekumbka meng na nmepta mazingatio makubwa sana .

Miaka Ming ilopita nlikuwa mshabiki mkubwa wa muziki (mwenyez mung anisamehe ) na nlipenda sana mziki wa hip hop ......nkiwa nakua kua ....nlipta kumjua left eye hasa aliposhirikishwa na Melanie B ktk never be the same again ...nlitokea kumpenda na kuanza kumfatilia na kutokea kuwa fans wake jpo I was small kid

Hatimaye left eye alifariki kwa ajal ya gar .....na mm kipind hiko nlishaacha kabisa kuskiza mziki ...nliumia sana s kwann kafa ila kwann kafa ktk hali ile ya kuwa ktk kaz ya kumuudh mung .......nlifkir meng jins sis binadamu tunavojisahau na shetan kutupotosha .....

Left eye alifariki akiwa na miaka 31 ...sasa ukitathmin miaka yake aloish na vitu vinavyotudanganya nguvu znaniisha na kuomba mwsho mwema

Miaka 31 toa 14 ya utoto mpka alipoingia baleghe

Imebak 17 aloish ...17 hiyo toa miaka 5 maybe aliumwa inabk miaka 12 tu alofurah .....

Miaka 12 tu ameish dunian tu na kumsahaulisha maisha yanayofuata ambayo angeish milele ........

Nliumia sana sabb nlimpenda sana ktk Shari na ningetaman nmpende ktk kheri ya kumpendeza mung

Lakini sina jins wino umekwisha na kalamu imenyanyuliwa ......

Ni ukumbusho kwetu sis ...wakt tunakuwa masela hatujal kitu ila tubadilike sabb dhamb haisahauliki na wema hauozi .. .....
7c6899963df346bb40fcca1c00988740.jpg
 
Hakunaga kuishi milele aanakudanyanya ndugu. Ukifa ushakufa.
 
Ni kweli kabisa inatakiwa kufanya mema katika uhai wako
maana hatujui huko tuendapo tutaishi miaka mingapi
tukiwa katika raha au adhabu ya mola.
 
Hakunaga kuishi milele aanakudanyanya ndugu. Ukifa ushakufa.
Huwez kuish milele dunian ila baada ya kifo kuna maisha ...ikiwa huamini hilo OK we subir na sisi utatukuta ni wenye kusubir
 
Back
Top Bottom