lewis acid
Member
- Mar 21, 2017
- 57
- 120
Kama mko makini mtakubaliana namimi kwamba rais aliyeko madarakani na rais wote waliopita hawateui wastaafu kutoka jeshi la magereza ukilinganisha na jwtz na polisi.
Ni wazi kwamba magereza ipo tangu zamani na sio jeshi la jana, tangu mkoloni magereza ilikuepo.
Sababu zinazopelekea wasiteuliwe kushika nafasi mbalimbali ni hizi:
1.Wengi hawana elimu.
2.Ni waoga sana kukutana na viongozi wakubwa kama raisi
3.Wanaishi kwa fitna kuliko haki, wananyanyasana hata wao kwa wao, mwenye cheo anamnyanyasa asiye na cheo.
4.Ni watu wanapenda uovu,ufujaji mali za umma, kama askari hawa wangekua wasafi kwa nguvu kazi walionayo ya wale wafungwa basi wangeweza kuzalisha na kuhudumia jamii na kuipatia serikali mapato makubwa sana, cha ajabu serikali inatenga bajeti ya kutunza wafungwa.
Inamaanisha uzalishaji unaofanyika unaishia mikononi mwa watu wenye vyeo huko magereza.
5. Hawana ushirikiano kama ilivyo kwa polisi na jwtz.
Hilo liko wazi kama uko makini utagundua hilo.
Ongeza na sababu zako wewe unazoona hawa jamaa zinawafelisha.