Kugeuka
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 333
- 225
Habari wanajamvi!!!! Nina rafiki yangu anataka kuchukua likizo bila malipo,ni mwajiriwa serikalini,idara ya elimu. Je,ni taratibu zipi afuate ili kupata hiyo likizo ya bila malipo? Ameulizia baadhi ya maofisa,wamemwambia kuwa,hiyo kitu haipo kwa sasa,je ni kweli? Na km c kweli,afuate taratibu zipi?