nyamurujustine
Member
- May 29, 2017
- 37
- 13
Tatizo la maji katika wilaya Serengeti kata ya Kenyamonta kijiji cha Nyagasense ni usanii mtupu, mwaka 2015 mnamo mwezi wa tano waziri wa M
maji Prf. Maghembe alizinduwa mradi wa maji kijijini hapa lakini siku hiyo waziri alisema ukosefu wa maji itakuwa historia kijijini hapa siku mbili ilivyopita maji hayakuwepo mpaka siku mwenge unapita trh 30/8/2017 ulipopita ndipo miaka miwili baadae.
Wanakijiji walipoyaona maji tena hii ni mara baada ya kutafuta pesa kutoka wilayani sh. 100,000/= wakajaza maji Lita 50000 kwa saa 24 badala ya masaa 12 km makadrio ya wataalamu, tatizo kubwa ni kisima hakitoi maji Lt 6000 kwa saa km ilivyochibwa na benki ya Dunia mkandarasi alimtaarifu Mhandisi wa maji Serengeti ambaye kwa sasa yuko Rorya kuwa matundu yameziba yanatakiwa kuzibuliwa kabla ya kupachika mashine alakini mhandisi wa maji alimwambie weka hivyo hivyo hakuna hela ya kuzibuwa.
Alikuja kiongozi wa mbio za mwenge alidanganywa na wakamjazia wanafunzi kushangilia mwenge wananchi hawakuwepo kwasababu hawayaoni maji na kudanganywa kilasiku, lakini wananchi walitaka kuchukuwa mabango ili kusema ukweli.
Bahati mbaya ama nzuri mkuu wa wilaya na OCCID walimtuma Mhandisi mpya wa maji kuja kuwapiga wananchi mkwara wasije wakabeba mabango wakati wa mwenge atakayekaidi atatiwa ndani nakupewa kesi mbaya , wananchi wakaogopa hivyo Mh. Juma Aweao na Mh. Kamwele juweni mradi wa maji Nyagasense ni usanii mtupu.