sogolage
Member
- Nov 25, 2017
- 19
- 12
Kumekuwa na ile fixed time ambayo ukilipia huduma ya king'amuzi kama ni kwa mwezi basi mwezi ukiisha unakatiwa huduma na hapo utatakiwa kulipia tena pasipo kujali tv umeitumia mara ngapi, hata ikiwa ni mara mbili tu uliitumia hiyo huduma ya king'amuzi basi utatakiwa kulipia tena pasipo kujali na kuangalia ulingano wa matumizi ya huduma na ghalama inayolipiwa.
Ni kwanini sasa mamlaka zinazohusika zisiangalie njia bora ya kuleta ulinganifu wa matumizi na huduma na ghalama zake, kwa kuleta mfumo ambao endapo ukilipia shilingi elfu 5o, basi hiyo huduma uitumie na iishe kwa thamani hiyo ya pesa, yaani ikitokea nimelipia efu 5o, niipate huduma kadri ninavyotumia sio kwa mwezi wenye siku 30 nikitumia siku tano iwe imeisha, hapo iwe hivi nikiangalia tv kwa kila saa 24, ihesabike siku moja, saa 48 iwe siku ya pili na kuendelea ili kuleta uhalisia ninaposema huduma ya mwezi iwe kweli nimetumia kwa siku 30/31.
Yangu ni hayo tu, pia niombe utekelezwaji wa mawazo yangu mimi niliye kapuku, kwa sababu ya kuwanufaisha wenye pesa na kulipshwa huduma nyingine bila hata ya kuwepo kwa uhalisia, hongera watu wa luku na maji kwa kuwa na mifumo bora ya huduma zenye uhalisia,...
==============
Wenu,
Sogolage