RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,395
- 139,197
Hii ni documentary ya siku 100 za kwanza alizoingia White House. Obama alikuta nchi iko kwenye mdidimio wa uchumi.
Ukiangalia hatua alizochukua na tubavyofanya sisi hapa kwa kweli hata miaka 1000 hatutoki hapa, ukipata muda angalia BBCBrit Dstv 120.
Natamani ningeweza kuwapa watu fulani hii documentary waangalie.