Kampuni ya Dubai kuanzisha Tanzania Airways hapa nchini

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kampuni ya glasgow onternation gt ya dubai imekubali kuanzisha kampuni mpya hapa tanzania itakayoitwa tanzania airways,.itakayokuwa ikifanya safari zake mwanza kigoma mtwara na kwingineko safari za ndani
makubaliano hayo yalifanyiaka nchini hapa chini ya waziri wa miundo mbinu mh omar nundu;na wenyekiiti wa bodi wa kampuni hiyo..mwenyekiti wa kampuni hiyo amesema ameshawishikamno kujakuwekeza hapa nchini tanzania na wameamua kuanzisha shirika jipya litakaloitwa tanzania airways ambalo tumeshaanza mchakato ni muda si mrefu tutakuwa na kibali cha kufanya kazi hapa nchini..

Mwenyektii huyo amesema kampuni hiyo itaanza na safari za ndani na baadae itaanzisha safari za nje ili kuweza kusaidia watanzania kusafiri kwa bei nafuu popote wanapoenda ,waziri nundu amesema kuanzishwa shirika hilo kutakuwa kumefungua ukurasa mpya katika ukuaji wa sekta ya anga,ambapo wamekubaliana hata nauli kupunguza hasa kutokana naushindani uliopo

alisema kwa makubaliano shirika hilo litakuwa na makao yake hapa tanzania pamoja na kufuata sheria zote zinazotakiwa za nchi ikiwemo ulipaji wa kodi serikalini..hizi ni hatua zilizoamuliwa kuchukuliwa na serikali ya awamu yanne kuboresha usafiri wa anga nakuongeza ufanisi na utoaji huduma hiyo..tayari kampuni ya jet link inatarajia kutua muda si mrefu baada ya kuwapa kibali cha ndani wanasubiri ndege zao kufika na kuanza huduma mara moja

labda amkunielewa jamani lengo letu nikuona watanzania wanauwezo wa kusafiri kwenda sehemu yoyote kwa kutumia ndege bila kufikiria sana..nenda southafrika kuna kulula wamejaa ukiangalia na bei ya saa vitu viwili tofauti ingawa mnafika muda mmoja ...ifike wakati wafumbuke tumedhamiria kialisia kuboresha sekta ya anga
 
Sisi tunachohitaji kuona Twiga wetu yupo hai na analipiwa Kodi ilizinufaishe taifa letu. hayo makubaliano yasiwe na 10% wale yasiwe ya kifisadi for the sake of our Nation. Tunahitaji Shirika letu liwe na nguvu kama South African Airways sio porojo zenu na kazi zote wanapatiwa watanzania.
 
Nimesiki Bungeni leo waziri Nundu akijibu swali kuhusiana na ATCL, kuwa tangia Febr.2011 ilisitisha rasmi huduma zake, na kwamba ndege zake zimepelekwa S.Africa kwa matengenezo, na ndege ya kwanza itatoka huko mwishoni mwa July 2011. Nia aibu mno.
 
huu uzalendo gani huu umeanza kuongezeka nje ya mipaka wakati ndani ya nchi ukisinyaa!!! ...kunani? litalinda interest za waTZ au za huko lilikotoka?
Sisi tunachohitaji kuona Twiga wetu yupo hai na analipiwa Kodi ilizinufaishe taifa letu. hayo makubaliano yasiwe na 10% wale yasiwe ya kifisadi for the sake of our Nation. Tunahitaji Shirika letu liwe na nguvu kama South African Airways sio porojo zenu na kazi zote wanapatiwa watanzania.
 
amedai soon itarudi normal
mwenye kuelewa soon tusaidiane jamani maana na miezi 4 ijayo akisema soon inabaki soooooooooooooonnnnnn
loh
 
hiyo kampuni mpya inayokuja inaanza kwa msamaha wa kodi au ndo inakuja kwa interest za watu????
 
hatutaki kusikia Misamaha ya kodi, hao jamaa wakianza kazi na malipo ya kodi yaanza siku hiyo hiyo wanapoanza kazi tumeshachoka kuitwa shamba la bibi
 
Back
Top Bottom